Nijuzeni kazi za gari lenye machuma mengi kwenye msafara wa Rais

bush crazy

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
757
1,020
Ile gari kazi yake nini? pia kuna gari fulani lipo kama noah fulani huwa linafanya kazi gani?

Pia kwanini magari karibu yote ya rais yana rangi nyeusi!

Tena kuna ndege mbili lazima ziwe juu mkulu atumiapo usafiri wa nchi kavu!
 
Mkuu hii inaitwa CONVOY PROTECTION JAMMER 1/2. Ni Gari maalumu ya kudhibiti mawasiliano ya aina Mbali mbali kwa maana Radio Sets, GSM 2G/3G, GPS Receivers pia Simu za Satellite. Ina uwezo wakuzuia mawasiliano kwenye Frequency kati ya 20mhz mpaka 6000mhz. ikidhibiti VHF UHF,GSM,CDMA,UMTS. Asante
Ile gar kaz yake nini?

pia kuna gar fulan lipo kama noah fulani huwa linafanya kazi gani?

pia kwann magari karibu yote ya rais yana rangi nyeusi!
 
Mkuu hii inaitwa CONVOY PROTECTION JAMMER 1/2. Ni Gari maalumu ya kudhibiti mawasiliano ya aina Mbali mbali kwa maana Radio Sets, GSM 2G/3G, GPS Receivers pia Simu za Satellite. Ina uwezo wakuzuia mawasiliano kwenye Frequency kati ya 20mhz mpaka 6000mhz. ikidhibiti VHF UHF,GSM,CDMA,UMTS. Asante
ahsante mkuu! sasa mbona ukipiga simu huwa zinafanya kazi uwapo karibu na hii gari?
 
Mkuu hii inaitwa CONVOY PROTECTION JAMMER 1/2. Ni Gari maalumu ya kudhibiti mawasiliano ya aina Mbali mbali kwa maana Radio Sets, GSM 2G/3G, GPS Receivers pia Simu za Satellite. Ina uwezo wakuzuia mawasiliano kwenye Frequency kati ya 20mhz mpaka 6000mhz. ikidhibiti VHF UHF,GSM,CDMA,UMTS. Asante
Ndo maana ukiwa kwenye eneo alipo Rais huwezi pata mawasiliano ya internet, niliwahi kuona hilo hata kwenye mikutano yote ya Lowassa, popote akiwepo huwezi pata internet iwe kanisani ama Uwanja wa wazi!
 
Back
Top Bottom