Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Habarini za jioni wanaintellijensia na watu wa kufikiri katika nyuzi 360 kwa kila jambo. Kama kuna kosa kubwa tunafanya ni kushika imani bila kujua japo historia kiduchu ya tulikotoka. Dunia ya...
45 Reactions
283 Replies
42K Views
"OPERATION COINTELPRO" OPERESHINI MAALUM ILIO SUKWA NA FBI, ILIINJINIA VIFO VYA MALCOM X NA MARTIN LUTHER KING Jr, WANAHARAKATI WEUSI WASIO SAULIKA. Na.Comred Mbwana Allyamtu Friday -28/6/2019...
8 Reactions
10 Replies
6K Views
Salamu wana jukwaa wa humu: Nimekisoma kitabu cha The Richest Man in Babylon, by George S. Clason na kinasema kwamba wanasayansi, wanamahesabu wa kwanza kabisa ni wao. Nijuavyo mimi, watu wa...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wana jamii intelligence, Kutokana na kichwa cha uzi nini maoni yako kwamba askari mfano mwanajeshi,polisi akiua mtu pindi awapo katika majukumu yake ya kazi ni dhambi kwa Mungu...
4 Reactions
51 Replies
7K Views
Nimepewa taarifa na insider/friend in the US Army kwamba Jeshi la Marekani lina utafiti unaoendelea Tanzania chini ya mwavuli wa HIV na Malaria. Nimepewa mpaka na link, I have read it,ni kweli...
3 Reactions
36 Replies
4K Views
Na Dr.Christopher Cyrilo Siku moja, mtu mmoja alitoka nyumbani kuelekea hospitalini kwa sababau ya maumivu makali aliyokuwa nayo mkono wa kulia. Alipokutana na daktari, alimueleza namna mkono...
59 Reactions
58 Replies
16K Views
Personality Psychology ni tawi na saikolojia linahusika na sifa zinazoweza kumtofautisha mtu mmoja na mwengine kwenye saikolojia sifa hizi kuitwa traits. Kumekuwa na nadharia tofauti...
25 Reactions
98 Replies
42K Views
Mwaka 1968, Jeshi la Korea Kaskazini (KPA), liliunda kikosi maalum cha makomando 31. Kikosi hicho kilipewa jina Kikosi 124 (Unit 124). Makomando hao walipewa mafunzo maalum ya kutekeleza...
21 Reactions
10 Replies
3K Views
Bila shaka kila mtu ana kumbukumbu ya tukio au jambo lisilo la kawaida ambalo lilimtokea alipokuwa na umri mdogo. Kwa upande wangu naomba niwashirikishe matukio mawili ninayo yakumbuka ambayo...
7 Reactions
84 Replies
17K Views
Habarini Wakuu, Binadamu tunazaliwa katika mazingira tofauti tofauti yenye mila na desturi zake, lakini pia kuna mifumo mingi inayoongoza maisha yetu bila kujua nani mwanzilishi wa mifumo hiyo...
9 Reactions
70 Replies
10K Views
Habari wana intelligence. Kuna simulizi niliwahi kuisikia kutoka usukumanj ambapo anatoka mwanamalundi. Humu zimeshaandikwa sifa zake nyingi sana sina haja ya kurudia. Huyu bwana alikuwa na visa...
-1 Reactions
9 Replies
9K Views
Anaitwa Félicien Kabuga alikuwa ni mfanyabiashara maarufu nchini Rwanda kabla ya kufanyika kwa mauaji ya kimbari ya mwaka 1994. Alizaliwa katika eneo la kaskazini mwa Rwanda ambako...
20 Reactions
47 Replies
9K Views
Since most power stations work on fossil fuels, lights around the world will begin to shut down several hours after humanity disappears. Without people, nobody will charge them so they will stop...
5 Reactions
21 Replies
3K Views
Ni miezi kadhaa sasa tangu jina la Loliondo lilipojipatia umaarufu mkubwa Afrika ya mashariki.Kwa kadiri ninavyoelewa mimi,uganga wa kienyeji ni kitu cha kurithi katika ukoo. Japo babu,baba na...
3 Reactions
54 Replies
8K Views
Kama heading inavyojieleza hapo Juu hebu Tushirikishane hapa kwa faida ya wote Ni Mbinu gani unazotumia kuwadhibiti ama kuwaadabisha wanaotaka kukudhuru eiza Mazingira ya kazi ama vibaka...
0 Reactions
43 Replies
5K Views
Adolfo Nicholas ni member wa JESUIT GROUP ambalo lipo chini ya Roman catholic, vatican city Jesuit ndio members wakubwa dunian ambapo zile familia 13 bora zinazotawala dunia katika nyanja zote...
18 Reactions
325 Replies
70K Views
Global Positioning System (kifupi: GPS, kwa maana: Mfumo wa mwongozo kote duniani) ni mfumo wa kupima na kutambua kimakini kila mahali duniani ukitumia satelaiti. Misingi Satelaiti kama 30...
7 Reactions
8 Replies
7K Views
People who are Intelligent are regarded as very intellectually active individuals, they are always focused and highly creative people making use of their high intellectual capacity to solve world...
24 Reactions
62 Replies
13K Views
Habari tena wana jf watu wa roots and chalice, pharmacognosist, herbalist, hii ni sehemu ya pili ya mada yetu. Bangi. Kijiti. Magugu. Maryjane, Kush, skunk, Chochote unaweza kuiita, ni dawa ya...
6 Reactions
99 Replies
17K Views
Even though our leaders contribute to the cause of our poverty, but the main and real cause is our stupidity all of us, not leaders. Stop running away from your responsibilities to learn and work...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom