Mkuu ungejua mkuu kuna mila na tamaduni nyingi kwasisi waafrika ukisikia mwiko ujue ndio dhambi hiyoNatafakari hapa, ina maana bila dini au kuabudu tusingejua matendo mabaya hayatakiwi?
Mungu ni Pendo? Hebu fafanua mkuu.Wananasema Mungu ni pendo ila nikizitazama dini zilizopo ambazo kimsingi zinaeneza neno la Mungu na hata namna zilivyonezwa naona chuki tu na mauaji yametawala ndani yake.
Yaani Mungu anahimiza upendo na yeye pia ana upendo kwetu ila nashangaa anaacha watu wake wauane kwa ajili yake... Hapo hiyo nadharia ya upendo ipo kweli?Mungu ni Pendo? Hebu fafanua mkuu.
Sio kweli Mkuu Tulikuwa atuzijui bhanaNikizidi kutafakari zaidi, naona hata habari za Mungu, Yesu na Mitume na Manabii wengine tulikua nazo kabla ya hizo dini kuja, kwa mfano iliwezekana vipi kuyatunga majina ya Yesu na Mungu katka lugha za nchi na makabila mbalimbali ili yafiti katika kitabu cha Biblia.
Je si kwasababu taharifa walizokuja nazo tulikua nazo na kuanza kuzifiti kutokana na sifa zao? Yaani kama walisema kuna mwana wa Mungu anaitwa Jesus waswahili tulikua tunajua Kuna mwana wa Mungu anaitwa Yesu?
Kwa mlionielewa nisaidieni kuwaelewesha na wengine..
Kuabudu Miti,Ndoa za Familia moja na mengine kibao tuHayo mengi mkuu ni yapi au hyo bikla tuu