Ni hakika, Adam na Eva si binadamu halisi wa kwanza!

Jumong S

JF-Expert Member
Jul 3, 2013
7,295
10,467
Habari!
Katika masimulizi ya Biblia tunaona kuwa binadamu wa kwanza kuumbwa na Mungu ni Adamu na Eva. Tena tunaambiwa kuwa, hawa ndio wazazi halisi wa binadamu wote duniani. Quraan nayo kwa upande wa waislamu ikaja na masimulizi kama hayo baada ya kukopi elimu hii toka kwa Biblia japo ilibadili mlengo wa baadhi ya masimulizi hayo (NB Quraan iliandikwa toka masimulizi ya Biblia, vitabu vya dini ya kiyahudi ndipo wakaja na elimu za kutawadha, adhanaa nk, vitabu vya washirikina ndipo walipoitoa elimu ya majini na mapepo na pia masimulizi ya Mtume).

Habari hii ya Adamu na Eva si hadithi ya kweli, bali lugha ya picha. Rabi mmoja anadhihirisha kuwa Dunia ilikuwa na binadamu wengine ambao wa kiume waliitwa Adamu na wanawake wengine waliitwa Eva. Ushahidi wa rangi tofauti na races tofauti ni kidhibitisho tosha kuwa si binadamu wote tuna mzazi mmoja. Mfano mzungu na mzungu kamwe hawatazaa mwafrica na wala mwafrika na mwafrica hawatazaa mchina. Je, nini kilitokea kwa Adam na Eva hata wakazaa mhindi au mtamil au mwafrica???

Vitabu vya dini kubwa mfano za kihindu, kibudha au kichina zina masimulizi tofauti ya asili ya binadamu. Vile vile, sayansi bado inatafuta asili halisi ya binadamu.

Vitabu vya dini vimetumia masimulizi ya mkato, yasiyotoa uhakika na yasiyotaka kuhojiwa juu ya asili ya uhai na ukihoji utaishia kuambiwa unakufuru!!!

Kwa mantiki hiyo, masimulizi na visa vya asili ya binadamu ni hadithi za kutunga na kuaminisha umma. Kumbuka anayeqdhaniwa kuwa mwandishi mwandishi wa kitabu cha Genesis ni Moses ambaye alipata elimu yake pale Misri kwenye kasri la Farao! Tukumbuke kuwa tayari waisrael walikuwa wamekwisha kuishi miaka zaidi ya 400 Misri.

Je, nani alimpa elimu au simulizi la uumbaji Moses???

"...Waliandika kitu ambacho walipenda tukisome tu, mengine walificha kwa malengo yao"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu....1 different races tunaambiwa Ni mabadiliko kulingana na mazingira.
Kama tunavyoamini kwenye history.....
Nyani to man.

2.. Musa aliandika vitabu vyake kwa uwezo Wa Mungu....haikiwa akili yake
Unaamini ulitokana na nyani??? So, Adamu na Eva walikuwa nyani?

Ilipita miaka Bilions, mpk Musa kuzaliwa, una uhakika gani kama alipewa mamlaka na Mungu kuandika?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Come with proofs rafiki! We need facts

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nije na proof gani tena wakati biblia ndio inasema binadamu wa kwanza alikuwa Adam na baadae akaletewa Eva? Mimi naiamini biblia kwa asilimia mia moja ndio, kama wewe huiamini hilo ni tatizo lako binafsi nimeleta assumptions ambazo zinaweza kuwa zinajibu hayo maswali yako.

Ok, ukitumia Biblia as your total source of belief, then ushajilimit kutoka nje ya box. Kumbuka asilimia kubwa ya watu wapatao 7B in the world hawatumii Biblia, so limiting yo brain unajidogoisha!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari!
Katika masimulizi ya Biblia tunaona kuwa binadamu wa kwanza kuumbwa na Mungu ni Adamu na Eva. Tena tunaambiwa kuwa, hawa ndio wazazi halisi wa binadamu wote duniani. Quraan nayo kwa upande wa waislamu ikaja na masimulizi kama hayo baada ya kukopi elimu hii toka kwa Biblia japo ilibadili mlengo wa baadhi ya masimulizi hayo (NB Quraan iliandikwa toka masimulizi ya Biblia, vitabu vya dini ya kiyahudi ndipo wakaja na elimu za kutawadha, adhanaa nk, vitabu vya washirikina ndipo walipoitoa elimu ya majini na mapepo na pia masimulizi ya Mtume).

Habari hii ya Adamu na Eva si hadithi ya kweli, bali lugha ya picha. Rabi mmoja anadhihirisha kuwa Dunia ilikuwa na binadamu wengine ambao wa kiume waliitwa Adamu na wanawake wengine waliitwa Eva. Ushahidi wa rangi tofauti na races tofauti ni kidhibitisho tosha kuwa si binadamu wote tuna mzazi mmoja. Mfano mzungu na mzungu kamwe hawatazaa mwafrica na wala mwafrika na mwafrica hawatazaa mchina. Je, nini kilitokea kwa Adam na Eva hata wakazaa mhindi au mtamil au mwafrica???

Vitabu vya dini kubwa mfano za kihindu, kibudha au kichina zina masimulizi tofauti ya asili ya binadamu. Vile vile, sayansi bado inatafuta asili halisi ya binadamu.

Vitabu vya dini vimetumia masimulizi ya mkato, yasiyotoa uhakika na yasiyotaka kuhojiwa juu ya asili ya uhai na ukihoji utaishia kuambiwa unakufuru!!!

Kwa mantiki hiyo, masimulizi na visa vya asili ya binadamu ni hadithi za kutunga na kuaminisha umma. Kumbuka anayeqdhaniwa kuwa mwandishi mwandishi wa kitabu cha Genesis ni Moses ambaye alipata elimu yake pale Misri kwenye kasri la Farao! Tukumbuke kuwa tayari waisrael walikuwa wamekwisha kuishi miaka zaidi ya 400 Misri.

Je, nani alimpa elimu au simulizi la uumbaji Moses???

"...Waliandika kitu ambacho walipenda tukisome tu, mengine walificha kwa malengo yao"

Sent using Jamii Forums mobile app
Article yako ni nzuri.....ila tuombe radhi waislamu umetukosea quran haija chukua kitabu cha kishirikina mule kuna aya inayo elezea kuumbwa kwa majini tu quran imechukua muunganiko wa injili, torati, zaburi na quran yenyewe.....ila hiyo article wakisoma wasio taka kujua ukweli wanakimbilia kusema waislamu wanafuga majini......so please apologies for what u did.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ok, ukitumia Biblia as your total source of belief, then ushajilimit kutoka nje ya box. Kumbuka asilimia kubwa ya watu wapatao 7B in the world hawatumii Biblia, so limiting yo brain unajidogoisha!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawatumii biblia because they don't give a f*** about their spiritual life, knowledge ya kawaida nitaipata kwenye vitabu husika lakini elimu ya Kiroho my Bible is the main source of knowledge, nikisoma vitabu vingine vya elimu ya kiroho ni kama nyongeza tu na kuongezea kile nilichokwisha kujifunza na si kupingana na kile kilichopo kwenye biblia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Come with proofs rafiki! We need facts

Sent using Jamii Forums mobile app

Chief naona unataka facts huku wewe hujatoa facts. Hivi vituko nimezoea kuviona humu jf pekee.

Jaribu kumuuliza huyo Rabi au waulize wenye msimamo huo ya kuwa ilikuwaje hao binadamu wa kiume wakaitwa Adamu na wakike wakaitwa Eva ?

Je wa mwanzo wanzo hao binadamu alipatikanaje ?

Hili sasa ni swali la msingi,wewe umejuje kama haya uyasemayo wewe ndio ukweli ?
 
Mkuu nijuav
Hawatumii biblia because they don't give a f*** about their spiritual life, knowledge ya kawaida nitaipata kwenye vitabu husika lakini elimu ya Kiroho my Bible is the main source of knowledge, nikisoma vitabu vingine vya elimu ya kiroho ni kama nyongeza tu na kuongezea kile nilichokwisha kujifunza na si kupingana na kile kilichopo kwenye biblia

Sent using Jamii Forums mobile app

Qur'an na bible ni vitabu vilivyopo duniani ili kukupa mwanga tu ili roho yako ianze kutafuta ukweli wewe ni nani? Na uko duniani kwa ajili gani?
 
18 Reactions
Reply
Back
Top Bottom