Habari wakuu napenda kuwadokeza asili ya mwanadamu wa kwanza kuumbwa dunia na highly supreme being au jina lingine GOD ama the source of creation without been created.
Mwanadamu wa kwanza...
Leo nitapenda nizungumzie usingizi kwa mtizamo wa kujikita upande wa ndoto ambazo tunaamini ubeba jumbe au tafsiri fulani ni kwanini tunapolala uota ndoto za namna fulani na ndoto hizo huwa na...
Kitabu.Parenting with Love and logic
Mwandishi.Foster Cline & Jim Fay
Mchambuzi.Nanyaro EJ
Utangulizi
Mwandishi anasema kuwa swala la malezi ni mjadala mpana na ambao hakuna njia moja...
MINAMATA DISEASE
Ugonjwa uliogundulika kwa mara ya kwanza sehemu iliyoitwa Minamata kwenye mji wa Kumamoto huko Japan mwaka 1956.
Nini chanzo za ugonjwa wa Minamata?
Tarehe 21 april mwaka 1956...
Nijuavyo wapo binadamu baadhi wameyajua matamanio ya binadamu kiujumla!,namaanisha wanajua ubongo wa binadamu unataka kusikia nini..? Unafikiria nini juu ya mambo mtambuka na binadamu anahisia...
Inasemekana wakati wa ubaguzi wa rangi Africa ya kusini serikali ya makaburu ilikuwa na silaha za nyuklia. Ilikuwa inajiandaa iwapo mataifa huru yangeungana na kuivamia.
Wakati Pakistan...
Zamani wazungu walikuwa wanawabagua wajapani wakiwaita nyani. Lakini baada ya wajapan kuendelea na kuonyesha mambo wanayoweza kufanya kumekuwa na heshima kubwa sana kati yao.
Wajapan wenyewe...
Najaribu kutafakari hii namba saba lakini ina niweka kunywe kutafakari zaidi hata kiimani zaidi.
Si geni kwa wale wanao jua dini kusikia kwenye vitabu biblia na Quran ikitaja siku saba za umbaji...
VITU SITA AMBAVYO SI VIUMBE VYA MUNGU.
Tarehe Mar 2016 niliandika makala juu mahusiano kati Kiza, Mungu, Kifo, Vita, Njaa, na Maradhi. Makala ile ilizua mjadala mkubwa facebook na whatsapp...
Habari Wanajamii,
Ni kwa furaha tukaribishane katika jamvi la Habari, Mafunzo na Utaalam wa 'Ukiona Mbali katika Lugha ya Kiswahili'....
Farsight Institute, ikishughulika kutoka Atlanta, GA...
Wanasayansi wanasema dunia hulizuguka jua kwa speed ya 1609.344 kilomita kwa lisaa limoja tu, hivyo kumbe dunia ipo katika speed kubwa ya kulizunguka jua ndio maana tunapata usiku na mchana na...
habari wana jf.. katika pita pita yangu kwenye mitandao ya kijamii nimekutana na hii story nikaona sio mbaya kushare na wana jf.. so atakayeweza kuwa na muda wa kutosha ikupitiia basi apate...
PEPSI WALIGOMA KUNUNUA SIRI ZA KIBIASHARA ZA COCA COLA BADALA YAKE WAKAAMUA KUTOA TAARIFA POLICE/FBI
Kama ingefanikiwa, basi ingekuwa ni usaliti mkubwa sana wa kibiashara katika historia ya...
Nimekuwa nikijiuliza hilo swali apo juu mara kadhaa kama tusingetawaliwa kuanzia waarabu mpka mkoloni mzungu inamaanisha hizi dini zisingekuepo.Je,hayo yalitokea kama mapenzi ya Mungu?
Tuna safari kubwa sana kufika dunia ya kesho.Kuanzia mitume mpaka waliopo.
Mfano
1)yesu alipingwa na kupelekwa msalabani baada kugundua nyumba ya ibada sehemu ya biashara.
2) Galileo Galilei...
Nimewaza hivi.
Inawezekana ikawa ni kweli mpwa alikuwa mahali na ka-mchepuko wake wanapata moja mbili tatu.Si unajua tena mambo yetu wanaume.
Kwa kuwa wasiojulikana wapo nae beneti,kila muda na...
Title yangu inaeleweka vyema. Kwamba ufalme ukiwa sehemu hauwezi kukubali kutumia ili ujifitini kupata mshindani.
Sasa kwenye vitabu vitakatifu kuna sehemu kumeandikwa mungu wa dunia hii. Alafu...
EPUKANA NA WATU WENYE SIFA HIZI 6 KWA AJILI YA AFYA YAKO YA AKILI
Afya ya akili siyo kipaumbele kwa watu wengi kwa sababu wengi huamini elimu ya darasani inatosha
Kama na wewe unaamini elimu ya...
Nilikuwa najaribu kutafakari kwa kina mimi Deogratius Nalimi Kisandu kuwa ikiwa Historia ya Ukristo na Dini kuu inaonekana kuwa Dini hizo zilianzia katika Matifa ya ISRAEL na PALESTINA ambako...
Wakuu salaam
Ninaomba wajuzi wa mambo watusaidie,nimejaribu kupitia tafiti mbalimbali kuhusu lini hasa binadamu alianza kuongea(kutamka maneno) na ilikuwaje,neno la kwanza lilikiwa nini!
Nini...