Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

On JF:

Karl Friedrich Benz alizaliwa tar. 25 Novemba 1844 akiitwa Karl Friedrich Michael Vaillant huko Mühlburg / Karlsruhe Ujerumani wa Kusini Magharibi. Baada ya kumzaa mamake Josephine Vaillant...
8 Reactions
37 Replies
17K Views
1990 BLUE CHEVROLET CAPRICE SEDAN & 23 DAYS OF TERROR IN WASHINGTON: Wadunguaji (Snipers) walitoboa tundu dogo nyuma ya boot la gari na kusambaza hofu kubwa ya mauaji D.C. Sniper Attacks (pia...
13 Reactions
49 Replies
9K Views
Aga Khan family By Simon Mkina Bank accounts owned by an individual whose documents at the Barclays Bank show is a Tanzanian, have been used to launder 176 million US dollars from Aga Khan...
3 Reactions
6 Replies
8K Views
Rais Magufuli Kuna video ndogo inazunguka mitandao ya whatsapp. Inamwonyesha Rais Magufuli akihutubia watu wasioonekana akiwa amesimama kwenye jukwaa fulani. Kuna nembo ya Bibi na Bwana...
7 Reactions
544 Replies
38K Views
Matatizo mengi tunayoyapitia ya kisiasa, kiuchumi na kijamii yametokana na mifumo tuliyonayo kama nchi na wananchi, pamoja na mifumo iliyojengwa "na dunia". Bara la Afrika lilikuwa na mifumo yake...
5 Reactions
5 Replies
2K Views
The Saga Of Subcontracted Hit Men For Hire Who Outsourced Murder: Mtandano wa wauaji wa kukodisha waliouziana tenda ya mauaji kiasi cha Dollar 282,600. Ndugu zangu watanzania, hii story ni fupi...
13 Reactions
65 Replies
9K Views
The world's largest cruise ship - Royal Caribbean International's Oasis of the Seas - has made her UK debut in Southampton. These spectacular pictures show some of the state-of-the-art facilities...
12 Reactions
249 Replies
69K Views
Kumekuwa na Gumzo kubwa duniani kufuatia nadharia inayodai kuwepo kwa uwezekano wa kusafiri kwenye muda (Time travel). Ingawa kuna mvutano mkubwa juu ya ukweli wa hili jambo kwa upande wangu...
5 Reactions
84 Replies
13K Views
Soviet Union Female Assassins: Majasusi wa kike wa K.G.B na silaha ndogo ya hatari sana iliyoitwa "Lipstick Pistol" (The Kiss of Death) UTANGULIZI ===== Mnamo mwaka 1969 bwana Markov akaondoka...
11 Reactions
44 Replies
9K Views
Katika vitu nilivopitia cha kwanza ni mawasiliano ndio mkate wangu wa kila siku popote na kokote.kila siku teknolojia kutaka kufikisha huduma popote kwa wakati kwa njia yoyote tu ili mtumiaji...
6 Reactions
9 Replies
3K Views
Katika karne ya nne dola ya Rumi ilikuwa kwenye machafuko na mapigano ya wenyewe kwa wenyewe, Mapigano hayo yalikuwa kati ya mfalme Constantine na mfalme Licinus wa Balkans. Mbali na vita vya...
4 Reactions
13 Replies
5K Views
Kumekuwa na uvumbuizi na uendelezi mwingi katika teknolojia ambayo kwa sasa ni ngumu kuzungumzia pasipo kusikia jina la Elon Musk. Kwa wale wanaopenda kufuatilia teknolojia bila shaka watakuwa...
15 Reactions
45 Replies
23K Views
Kuna jamii za waafrika weusi (especially wamisri wa kale) ambazo huko zamani sana walikua wanamchukia na wanabishana sana na Mungu wa Israel (na watakatifu wake) na walikua na akili sana...
4 Reactions
184 Replies
19K Views
Kuna mzee wangu mmoja napenda kukaa nae mtaani kwangu kubadilishana mawazo yeye amezaliwa miaka ya nyuma kidogo na bahati nzuri amesoma sana na amefanikiwa kufundishwa na wazungu na kusoma vyuo...
4 Reactions
42 Replies
5K Views
Moja ya kauli ambazo watu wengi hutumia kujiplease pale wanapofanya jambo baya ni hii ya shetani kumpitia mtu. Huwa najiuliza unakuwa wapi pale hichi kitu kinachoitwa shetani kinapokupitia? Je...
3 Reactions
52 Replies
5K Views
Waafrika tunahitaji kuthamini uhai na utu wetu Kati yetu na ndipo tutapata heshima, tukifanyiana unyama tunaonekana Kama wanyama na hata wengine hawataona tabu kutuua Kama wanyama. Baada ya...
30 Reactions
133 Replies
13K Views
Pichani ni Thomas Paine, huyu Alikuwa ni Mwanaharakati, Mwanasiasa na Mwanafalsafa kutoka Uingereza aliyeishi US, ni mmoja wa Wanasiasa wanaokumbukwa sana US kwa Mchango wake katika Mapinduzi ya...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Sijui watu wanafikilia nini ! Labda teknolojia kwao sasa ni kama kuwa nje ya ulimwengu. Tetesi zilikuwa nyingi na majaribio yapo mengi lakini hayo yote kama kawaida zetu wa kubisha tupo. Japani...
4 Reactions
82 Replies
10K Views
Kitendo cha kuwa nimelala usiku mmoja na nikawa naota ndoto na ndani ya ndoto hiyo nikawa nazungumzia matendo niliyofanya miaka mingi iliyopita huko huko ndotoni wakati matendo hayo sijawahi...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Sisi wanadamu tuna siri kubwa sana. Kuna mada zinaweza kuleta mdaalo sana. Kwanini Binadamu nje ya sayansi kama kuweza uchawi basi ujue sauti ya mungu kaweza kuchunguza sana na kujua sana. Siyo...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom