Nanyaro Ephata
JF-Expert Member
- Jan 22, 2011
- 1,221
- 1,788
Wakuu salaam
Ninaomba wajuzi wa mambo watusaidie,nimejaribu kupitia tafiti mbalimbali kuhusu lini hasa binadamu alianza kuongea(kutamka maneno) na ilikuwaje,neno la kwanza lilikiwa nini!
Nini kilimsukuma kutamka etc kwenye tafiti hizi sijapata jibu la moja kwa moja
Na je lugha ina umri wa miaka mingapi?kwenye tafiti mbalimbali wanasema kuwa kuna lugha zaidi ya 7000(elfu saba) duniani! Maana yake watu 7bil wanazungumza lugha 7000 tu,jaribu kugawanya!
Na je ni neno gani linazungumzwa kuliko mengine?
Naomba msaada tafadhali