Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

On JF:

Kitabu.Parenting with Love and logic Mwandishi.Foster Cline & Jim Fay Mchambuzi.Nanyaro EJ Utangulizi Mwandishi anasema kuwa swala la malezi ni mjadala mpana na ambao hakuna njia moja...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
MINAMATA DISEASE Ugonjwa uliogundulika kwa mara ya kwanza sehemu iliyoitwa Minamata kwenye mji wa Kumamoto huko Japan mwaka 1956. Nini chanzo za ugonjwa wa Minamata? Tarehe 21 april mwaka 1956...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Nijuavyo wapo binadamu baadhi wameyajua matamanio ya binadamu kiujumla!,namaanisha wanajua ubongo wa binadamu unataka kusikia nini..? Unafikiria nini juu ya mambo mtambuka na binadamu anahisia...
10 Reactions
120 Replies
17K Views
Inasemekana wakati wa ubaguzi wa rangi Africa ya kusini serikali ya makaburu ilikuwa na silaha za nyuklia. Ilikuwa inajiandaa iwapo mataifa huru yangeungana na kuivamia. Wakati Pakistan...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Zamani wazungu walikuwa wanawabagua wajapani wakiwaita nyani. Lakini baada ya wajapan kuendelea na kuonyesha mambo wanayoweza kufanya kumekuwa na heshima kubwa sana kati yao. Wajapan wenyewe...
12 Reactions
18 Replies
3K Views
Najaribu kutafakari hii namba saba lakini ina niweka kunywe kutafakari zaidi hata kiimani zaidi. Si geni kwa wale wanao jua dini kusikia kwenye vitabu biblia na Quran ikitaja siku saba za umbaji...
3 Reactions
29 Replies
8K Views
VITU SITA AMBAVYO SI VIUMBE VYA MUNGU. Tarehe Mar 2016 niliandika makala juu mahusiano kati Kiza, Mungu, Kifo, Vita, Njaa, na Maradhi. Makala ile ilizua mjadala mkubwa facebook na whatsapp...
36 Reactions
676 Replies
188K Views
Habari Wanajamii, Ni kwa furaha tukaribishane katika jamvi la Habari, Mafunzo na Utaalam wa 'Ukiona Mbali katika Lugha ya Kiswahili'.... Farsight Institute, ikishughulika kutoka Atlanta, GA...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wanasayansi wanasema dunia hulizuguka jua kwa speed ya 1609.344 kilomita kwa lisaa limoja tu, hivyo kumbe dunia ipo katika speed kubwa ya kulizunguka jua ndio maana tunapata usiku na mchana na...
21 Reactions
580 Replies
65K Views
habari wana jf.. katika pita pita yangu kwenye mitandao ya kijamii nimekutana na hii story nikaona sio mbaya kushare na wana jf.. so atakayeweza kuwa na muda wa kutosha ikupitiia basi apate...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
PEPSI WALIGOMA KUNUNUA SIRI ZA KIBIASHARA ZA COCA COLA BADALA YAKE WAKAAMUA KUTOA TAARIFA POLICE/FBI Kama ingefanikiwa, basi ingekuwa ni usaliti mkubwa sana wa kibiashara katika historia ya...
9 Reactions
68 Replies
13K Views
Nimekuwa nikijiuliza hilo swali apo juu mara kadhaa kama tusingetawaliwa kuanzia waarabu mpka mkoloni mzungu inamaanisha hizi dini zisingekuepo.Je,hayo yalitokea kama mapenzi ya Mungu?
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Tuna safari kubwa sana kufika dunia ya kesho.Kuanzia mitume mpaka waliopo. Mfano 1)yesu alipingwa na kupelekwa msalabani baada kugundua nyumba ya ibada sehemu ya biashara. 2) Galileo Galilei...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimewaza hivi. Inawezekana ikawa ni kweli mpwa alikuwa mahali na ka-mchepuko wake wanapata moja mbili tatu.Si unajua tena mambo yetu wanaume. Kwa kuwa wasiojulikana wapo nae beneti,kila muda na...
3 Reactions
16 Replies
3K Views
Title yangu inaeleweka vyema. Kwamba ufalme ukiwa sehemu hauwezi kukubali kutumia ili ujifitini kupata mshindani. Sasa kwenye vitabu vitakatifu kuna sehemu kumeandikwa mungu wa dunia hii. Alafu...
5 Reactions
55 Replies
7K Views
EPUKANA NA WATU WENYE SIFA HIZI 6 KWA AJILI YA AFYA YAKO YA AKILI Afya ya akili siyo kipaumbele kwa watu wengi kwa sababu wengi huamini elimu ya darasani inatosha Kama na wewe unaamini elimu ya...
7 Reactions
20 Replies
5K Views
Nilikuwa najaribu kutafakari kwa kina mimi Deogratius Nalimi Kisandu kuwa ikiwa Historia ya Ukristo na Dini kuu inaonekana kuwa Dini hizo zilianzia katika Matifa ya ISRAEL na PALESTINA ambako...
6 Reactions
205 Replies
44K Views
Wakuu salaam Ninaomba wajuzi wa mambo watusaidie,nimejaribu kupitia tafiti mbalimbali kuhusu lini hasa binadamu alianza kuongea(kutamka maneno) na ilikuwaje,neno la kwanza lilikiwa nini! Nini...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Karl Friedrich Benz alizaliwa tar. 25 Novemba 1844 akiitwa Karl Friedrich Michael Vaillant huko Mühlburg / Karlsruhe Ujerumani wa Kusini Magharibi. Baada ya kumzaa mamake Josephine Vaillant...
8 Reactions
37 Replies
17K Views
1990 BLUE CHEVROLET CAPRICE SEDAN & 23 DAYS OF TERROR IN WASHINGTON: Wadunguaji (Snipers) walitoboa tundu dogo nyuma ya boot la gari na kusambaza hofu kubwa ya mauaji D.C. Sniper Attacks (pia...
13 Reactions
49 Replies
9K Views
Back
Top Bottom