Unaweza kujiuliza Taifa kubwa ambalo limewahi kuwashuhudia maraisi wake wanne wakiuwawa mbele ya macho yao, licha ya ulinzi mkali litakuwa 'serious' kiasi gani katika kuepukana na aibu hiyo...
SEHEMU 1: JINSI YA WAZUNGU WALIVYOTOKEA DUNIANI
Binadamu wa sasa alizaliwa Afrika na kutokana na mtu mweusi watu wa aina yote duniani walipatikana . Swali je ni kwa namna gani rangi tofauti za...
"Ukiwa kwenye taamuli unaona kilichokuwa kinaendelea akili mwako wakati wote." - Allan Lokos
Watu wengi wamekuwa wakijifunza meditation tangu karne na karne, miaka na miaka. Sio kitendo...
Wasalaam
Juzi nilipata kupitia nyuzi fupi ya bwana ndege JOHN , Aliyojaribu kuuliza kuhusu Dragons, kwa namna moja ama nyingine nimeshindwa kuiattach hapa.
Lakini nikaona si mbaya nami...
Wasalaam,
Naomba kujua tofauti Kati Ugaidi na Uajsusi,hasa kwenye vitendo.
Kwa mfano watu wa nchi moja wakie da nchi nyingine na kumuua mtu Fulani wa nchi nyingine,nchini kwake
ama akiwa nchi...
Wana Jamii wa humu natumaini hamjambo kabisa, napenda kuuliza huvi, ikitokea msafara wa Rais unapita halafu ikatokea ambulance inamgonjwa kutoka sehemu flani inampeleka hospitali, je, nani...
The KGB, NATO and Post-Independence Africa (1960s-1980s): Vita Mpya vya Maslahi ya Wazungu (USSR-USA-EU) ndani ya bara la Afrika punde baada ya uhuru.
Ninakushauri uanze kwa kusoma thread hii...
UZI HUU SIO WA KIDINI LICHA YA KWAMBA IMETUMIKA MIFANO KUTOKA KWENYE VITABU VYA DINI, HIVYO NAOMBA USIPELWKWE KWENYE JUKWAA LA DINI.
Waislamuini Korani na Wakristo wanaiamini Biblia, wote...
Sayansi haisemi uongo, Ila uongo unaweza kujitengenezea sayansi yake.
Uchunguzi wa kimahakama wa matukio ya uhalifu ni uchunguzi wa kisaynsi unaolenga kukusanya ushahidi usio na shaka na kisha...
Habari wanaJf, nizame straight kwenye mada mtanisamehe kwenye uhandishi mbovu dhumuni content ifike na tujadili.
Tukiwa kama binadamu wote tumeumbwa na choyo na ubinafsi ya kiasi ndani yetu...
Ukiwa unatembea, wenzako wanakimbia, ndivyo naweza kusema kwa lugha ya haraka kutokana na teknolojia inavyotupa picha kuwa siku moja binadamu ataweza kupika akiwa safarini au kupaa kwa kutumia...
"I am your god and teacher.I am the devine way,the torch that lights up the dark.There is no god but Ali solih."
Haya ni maneno yake marehemu Ali solih aliyekuwa raisi wa Visiwa vya...
Kuelekea mwishoni mwa vita ya pili ya dunia 1945 , vita upande wa Ulaya ni kama ilikuwa imeisha, hata hvyo upande wa Pacific ndo ilikuwa inashuhudiwa pambano kubwa zaidi kuwahi kutokea ,
kisiwa...
Immortality haina maana ya kwamba kutokufa kabisa, bali kuishi miaka mingi/kurefusha muda wa kuishi. Kiumbe anaye ishi maelfu au mamia ya miaka kwenye ulimwengu, basi huyo kiumbe anakuwa ame...
MTU anaishi baada ya kufa?
Mara nyingi kume kuwa na mafundisho mengi ya upotoshaji, nazaidi wengi wao wakifanya kama alivyo Fanya shetani kutumia maandiko matakatifu kumjaribu Yesu mwanawa Mungu...
Je mauaji yanayodhaminiwa na serikali yanaweza kutumika kama mkakati? Na mauaji kama hayo yanaweza kukubalika kweli? Serikali hazikubali hilo, lakini wanasayansi wa nyuklia wa Iran wanajua...
Tafadhali naomba wajuvi wa mambo wanijuze kuhusiana na hili, hivi hili sanduku la agano lilikuwa na nini ndani yake na madhumuni yake yalikuwa nini? Kwa nini Makuhani ndio waliolibeba na wengine...
1960s KGB CLOAK-AND-DAGGER SEXPIONAGE SPARROWS WITH LOVE FROM MOSCOW: Kisa cha Balozi Malaya wa Ufaransa na Majasusi wa Kike wa Russia (Femme Fatales)
Ninakushauri uanze kwa kusoma kwanza makala...
Kila mwanadamu ni sehemu moja ya muundo mkubwa, wa milele - gia za kibinafsi katika saa ambayo haina mwisho. Ingawa hauwezi kuelewa kabisa kusudi lako, sehemu yako ni muhimu kama wafalme na malkia...