SEHEMU YA 2: Namna Wazungu walivyotokea duniani

chofachogenda

Member
Oct 6, 2016
66
125
SEHEMU 2: JINSI WAZUNGU WALIVYOTOKEA DUNIANI
NGOZI NYEUPE
Miaka 8500 iliyopita Luxermburg,Hungary na Hispania ilikuwa imejazwa na watu weusi .Miaka 7800 iliyopita, waafrika kutokan Dfrika magharibi pia ambao walijulikana kama original Eurasians walifika ulaya na kusambaza jeni mbili ambazo noi SLC24A5 and SLC45A2.
Hizi jeni zinahusika mno na ngozi nyeupe. Watu wa Scandinavia eneo ambalo kuna baridi kali walianza mabadiliko ya ngozi miaka 7700 iliyopita. Wazungu wa kwanza wa Scandinavia walikuwa wamebeba jeni ya HERC 2/ OCA 2 amabyo ina mahusiano na ngozi nyeupe, blondy hair (nywelenyeupe) na macho ya blue.Na hawa waliweza kuyamudu hayo mazingira kulingana na kile ambacho nimekisema awali.Hivyo waliishi kw muda mrefu na uzao wao uliongezeka zaidi .
Kile ambacho haya masomo yote hayajaeleza kinaganaga kwamba je hizi jeni 3 zinafanya vitu tofauti au zinafanya kitu kimoja. Huu ndio msingi wa kila kitu, hizi jeni 3 ni jeni za ualbino (Albinism genes). Hizi jeni tatu kwa ujumla wake au kupitia watangulizi wake zinapatikana pia Africa.OCA 2 inahusika na aina ya ualbino uliosambaa sana unaopatikana Afrika.OCA maana yake ni Oculocutaneous Albinism.
Hii maana yake ni kwamba kulingana na mzingira ya ulaya ya kale asili (nature) iliiishia kurespond kwa kusambaza ualibino ili watu waweze kuyamudu mazingira.
Kwa kuwa waafrika ndio watu wa Afrika zaidi, kwa hiyo ualbino asili yake ni Afrika au tunaweza kusema ngozi nyeupe za wazungu asili yake ni Afrika.
1550439460897.jpeg

Born in Africa, albinism is at the origin of the Europeans’ white skin
1550439731329.jpeg

RANGI YA NYWELE NA MACHO
Kama ambavyo tunajua, ualbino ulaya unahusiana na rangi za nywele. Ndivyo ilivyo Afrika, nwele zao ni blondy ( nyeupe), japokuwa vilevile kuna watu wana nywele nyekundu ( red haired) bila kuchanganya uzao (race mixing). Ingawa nywele zao hazijasambaa miongoni mwa watu weusi lakini zipo au zinapatikana katika bara la Afrika. Kwa hiyo utofauti wa nywele za wazungu asili yake sio ulaya. Kwa hiyo utofauti huo wa nywele chimbuko lake ni Afrika lakini ukaongezeka ulaya . Kitu hicho hicho kinaweza kusemwa kuhusiana na macho ya blue na kijani.
1550439905385.jpeg

Blond hair
1550440018610.jpeg

red haired toddler
1550440125321.jpeg

Typical albino African man with blond hair; Right: A partially albino African teenager with red-hair and freckles.

1550440360343.jpeg

Blue-eyed and green-eyed Africans

NYWELE ZA KIZUNGU (STRAIGHT HAIR)
Tofauti ya y anywele na rangi ya macho inweza kuonekana ni genetic coincidence lakini ukweli wa mambo nii kwamba nywele za kizungu (staright hair) zilikuwa na mchango mkubwa sana kstiks kupambana na mazingira ya baridi ya kipindi hicho.Kulingana na mtaalamu wa Cosmetology Naturi Ebene ansema kwamba kutokana na jua kali la Afrika kichwa kilihitaji ulinzi kutokana na joto kali. Hii ndio sababu nywele zetu ni kipilipili (spiral shape) kuzunguka fuvu la kichwa.
Hiii ni tofauti katika hali ya hewa ya baridi kali, changamoto zilikuwa tofauti .Tunaweza sema kwamba kutokana na nywele za kipilipili (kinky hair) external respiratory organs zilikuwa exposed kwenye hali ya baridi na kupelekea kupata magonjwa kama mafua. Kwa kuwa na nywele ndefu kuelekea chini hii iliwasaidia kwa ulinzi wa viungo hivyo na kuwapa joto. Lakini pia kuna watu weusi kabisa na wana nywele hizi ( straight hair). Mfano India kuna Dravidians, Afrika watu kutoka kabila la Fulani na hawa ni waafrika halisi hawajachanganya na jamii nyingine.
1550440453194.jpeg

Straight-haired Blacks from India also known as Dravidians
1550440568589.jpeg

Straight-haired Borana woman from Kenya

MAUMBILE YA SURA NYEMBAMBA NA NDEFU
Je sura ndefu na nyembamba za wazungu zimetoka wapi?. Tunafahamu kwamba pua ndefu na matundu madogo ya pua ( narrow nostrils) in heat the air ,inafanya hewa kuwa na joto inapopenya puani kuliko pua pana na fupi kama za waafrika. Mfano katika hali ya kawaida kunapokuwa na joto tunafungua madirisha na kunapokuwa na hali ya baridi tunafunga madirisha kwa ajili ya kupata joto.Hiii inatuaminisha kwamba wazungu wa kwanza waliokuwa na pua fupi na pana waliugua sana magonjwa yaliyokuwa yanahusu upumuaji kuliko wale waliokuwa na pua nyembamba na ndefu. Kwa hiyo asili (nature) ikarespond kwa kufanya watu hao kuwa na sura ndefu ikiambatana na pua ndefu.Hata hivyo hata leo katika bara la Afrika kun watu wan sifa ya kuwa na sura pamoja na pua ndefu na nyembamba kwa mfano kwa mfano wafulani , wasomali na wanyarwanda (watutsi) na ni waafrika halisi hwajachanganya na race yoyote ile au jamii ya watu wengine. Na hiyo sifa ipo kwa wahi9ndi weusi wanaojulikan kama Dravidians. Kwa hiyo sura ndefu na pua ndefu za wazungu asili yake ni Afrika .
Kwa kifupi ,karibia sifa zote ambazo mtu mweupe au mzungu kiasili sio zake.Mtu mweupe au mzungu ni matokeon ya mtu mweusi kupanga upya jeni zake ili kuendana na mazingira ya hali ya baridi na hasa kwa kukosekana jua la kutosha.Ngozi nyeupe inayotokana na ualbino, nywele zao,nywele nyeupe(blondy hair), nywele nyekundu (red hair) macho ya bluu na ya kijani na sura ndefu na sifa ya maumbile yao zinapatikana Afrika ambazo zimeongezeka/zimesambaa zaidi ulaya.
1550440658308.jpeg

Those who usually read our work may recognize this picture. On the left, there is a typical African skull with a short face and a protruding jaw (prognathism). Even in present time, this type of jaw is noticed on Egypt’s Sphinx or on Ramses II’s mummy. Finally, the African skull has an elongated head from the front part to the rear part (dolichocephaly). On the right, this is a typical white man’s skull: long face, jaw aligned with forehead, short head from the front part to the rear part (brachycephaly).
1550440780879.jpeg

Blacks with thin facial features: a Dravidian, a Fulani and an ancient Iranian (Elamite).

JE WAASIA WALITOKEAJE?
Waasia nao nao ni watu weupe japo wanachukuliwa kama yellow people ( watu wa njano).Waasia pia wanabeba jeni ya ya OCA2 Kwa hiyo nao pia ni maalbino. Swali linakuja je yale macho yao madogo (slanted eyes) yanatoka wapi?
Hii sifa pia ya machio madogo (macho ya kichina) inapaitikana pia Afrika katika kabila la Wakhoisan. Wakhoisan inasemekana ni watu wa kale zaidi duiniani. Ingawa hawa wana sura za kiafrika na pua pana na ngozi zao mara nyingi ni nyeupe (light skinned) .Je mazingira ya kiafrika yalikuwa favored zaidi kwa kusambaa hii feature ya kiafrika ni mapema mno ikuhitimisha hili, ushaidi zaidi unahitajika ili kuthibitisha hii nadharia.
1550440828046.jpeg
WATU WENGINE WENYE NGOZI NYEUPE E.G WAARABU, WALATINI N.K)
Katika miaka 5000 iliyopita mtu mweupe kutoka kaskazini Eurasia alikutana aliwasili mashariki ya kati na akakutana na mtu mweusi na akazaa hapo ndio ikawa mwanzo wa kuzaliwa semitic whites. Cheikh Anta Diop anaeleza katika Nations Negres et Cultures kwamba Akkadians wa Iraq walikuwa semic whites wa kwanza.Semitic whites wanatokana na muunganiko wa kati ya mtu mweusi na mweupe. Kwa hiyo waarabu ni muunganiko wa wazungu na waarabu weusi kutoka bara la Arabia.
White Berbers ni muunganiko wa jamii ya wazungu waliokuwa watumwa huko Arabuni na black berbers asili yao ni Maghreb.Uwepo wao duniani si zaidi ya miaka 1000.
Amerindians ( native Americans ) ni mchanganyiko wa jamii ya waasia miaka 5000 iliyopita na watu weusi kutoka marekani wakati walatino ni muunganiko wa wa wazungu ( European colonizers) na wahindi wekundu na uwepo wao duniani hauna zaidi ya miaka 500.
Watu wa kwanza katika kuanzishwa kwa Greco- Roman civilization walikuwa nani wamisri wa kale miaka 3500 iliyopita kutoka kwa watu weusi kutoka mashariki ya karibu ( near east) wanaojulikan pia kama Phoenicians kwa upande mmoja na kwa kupitia kwa wa Italy weusi wanaoitwa Etruscans kwa upande mwingine.Wakati wa chimbuko la European renaissance walikuwa Black Berbers kutoka Maghreb wanaojulikana kama Moors au Saracens miaka 1300 iliyopita. Hawa waafrika wote walijipenyeza kusini mwa ulaya kiasi kwamba idadi kubwa ya watu wa huko sio wazungu pure (sio wazungu 100%) kuliko wazungu wa upande wa ulaya magharibi wana nywele nyeusi na macho ya brown.
Kwa kifupi hivi ndvyo watu wa jamii mbalimbali walivyotokea duniani.
1550442107176.jpeg

Black Arab
Hitimisho
Aina zote za binadamu chimbuko lake ni Afrika kutokana tafiti liyofanywa na Sarah Tishkof na wengine mwaka 2009 inathibitisha Waafrika wana jeni za aina mbalimbali ambazo baadae zilitawanyika duniani kote.
1550441726268.jpeg

WAKO: BENJAMINS
CREDIT: Credit: AHHA (African History,Histoire Africaine)

SEHEMU 1: NAMNA WAZUNGU WALIVYOTOKEA DUNIANI
 
Attachments

lifecoded

JF-Expert Member
May 9, 2018
1,418
2,000
Nasubiri sana ilikuwaje Intelligence ikawa tofauti.....hayo mazingira yaliyofanya utofauti huo yalikuwaje...? .

Kingine umetoa utofauti wa picha katika colour form lakini ninavyofahamu mfumo wa coloured picture umeanza katika miaka ya 1890s and the 1950s...

Sijajua hiyo early distinction picture iliwezaje kuhifadhiwa katika mfumo wa coloured picture...

Any way history is history japo huwa inafeli sehemu moja tu ,kuelezea how the difference haiendelei kutokea...how did the environment changed na kufanya hiyo manipulation changes za rangi na ngozi pamoja na intelligence lakini kwanini mpaka leo utofauti hauendelei kutokea tena...!!? how were protective changes maintained...? and how about mutation inayoweza tokea leo lakini mabadiliko haya yatokeee miaka mamilioni iliyopita halafu yaache tena...?

Lakini ukisema kuwa ,kigezo cha temperature ndo sababu inaweza isiwe kweli kwani ukiangalia list ya nchi zenye joto kali sana ,ya kwanza ni Libya na ainafuatiwa na Soudi Arabia na Mexico ni nchi ya kumi kwa kuwa na joto kali duniani...Nchi kama sudani ,sijui chad na zingine za Africa zipo ndani ya kumi bora kwa kuwa na joto kali...

swali....!! Kwanini Mexico na Saudia watu wake wameendelea kuwa weupe despite climatic change kuwa na hottest season ever...??
hapa napo nahitaji maelezo kama unayo...!!

Umeelezea kuhusu genes ( jeni) za zinazofanya melanini kuwa nyeusi na nyeupe ..lakini hujatoa maelezo zaidi how those genes differentiated into function...yani zilitokana na gene ipi ambayo ilikuwa kuu na ukitazama kama lengo la jeni ya ngozi nyeupe ilikuwa ni kuavoid joto kali ili kuifanya ngozi kutokuwa na cancer kwanini rate ya skin cancer sio kwa uhusiano wa mwanga wa jua ila ni Irradiation kutoka kwenye mionzi...??

Tungeona wazungu wengi wanaokuja huku Africa wakidevelop Skin cancer kila mara kwa sababu miili yao ilidevelop mazingira ya kutoruhusu hali hiyo..but why not happening today..na tulitegemea wazungu wa kwanza kuvist Africa wawe kwenye exposure ya skin cancer but hali ipo tofauti...

How did intelligence continuum appeared..? hapa ndo kwenye utata..au ndo episode inayofuata...?

Nimeshangaa sana kuona coloured picture za zamani sana kipindi mabadiliko hayo hayajatokea na coloured picture wakati mabadiliko yameshatokea..na mabadiliko umesema yalitokea miaka 1850 milion iliyopita..how were those pictures identifies na stored interms of colour...??

Ukinipatia maelezo nitafurahi sana juu ya notion nilizogusia...

Sent using Nokia 8 Plus
 
Asante sana ndungu yangu kwa maswali yako mazuri nitajaribu kuyajibu kama ifuatavyo naomba swali la kwanza nilijibu mwisho hasa kuhusiana na utofauti wa IQ kati ya mtu mweusi na mweupe/

Tuanze na la picha hasa zile ambazo nilitoa kuhusiana na first habitant wa Europe,Baba wa waingereza(Chadderman), picha za omo na tumai katika sehemu ya kwanza, jibu lake ni kwamba wenzetu wanapopata yale mabaki ya watu wa kale wana uwezo wa kupima DNA na kuweza kutambua kama mtu huyu alikuwa anafananaje alikuwa na macho ya aina gani n.k hivyo sometimes wanaweza kumuweka kama mchoro au kuunda hata sanamu yake na kumuwekea vitu vyote unaweza angalia picha ya chadderman alafu lile sanamu ndiyo linapigwa picha sio kwamba hizo picha zilipigwa miaka hiyo.

Kuhusiana na nchi zenye joto kali lakini kwa nini wakazi wake ni weupe hii naweza kukwambia kwanza hizo nchi kwa miaka mingi mfano Libya zilikaliwa na watu weusi ila watu wa jamii nyingine katika harakati za kibinadamu kama kueneza dini, biashara n.k kwa mfano zamani afrika kaskazini Afrika kaskazini yote ilikaliwa na watu weusi (pyramid ina vielelzo vyote na miili ya mafarao iliyohifadhiwa inathibitisha hilo na hata leo wapo wamisri weusi na wasaudia weusi kama umefanikiwa kufika Saudia) baada ya vamizi kutoka tawala mbalimbali mfano wagiriki, warumi mpaka waarabu waafrika wengi walikimbia na hivyo maeneo hayo kukaliwa na watu wa jamii tofauti lakini sababu nyingine niliyokupa ambayo imesababisha jamii tofauti kutokea ni muingiliano baina ya jamii moja na jamii nyingine ambapo kukasababisha kuzaliwa kwa jamii ya watu wengine soma vizuri hapo nilipozungumzia namna jamii nyingine zilivyotokea.

Swali lingine kwa nini hii evolution haitokei mpaka sasa hivi, Kumbuka evolution kipindi hicho ilikuwa inatokea ili kumuwezesha binadamu aweze kuendana na mazingira yake sasa ilipofika hatua binadamu alipoweza kumudu mazingira yake kama kugundua moto, kilimo n.k nature iliacha kurespond hiyo kwa sababu binadamu amekuwa adaptive na mazingira.Inawezekana kuna evolution inaendelea kwenye jeni ili kuendana na hali za maponjwa n.k lakini sio physical form.

Wazungu na kansa ya ngozi hili liko obvious sana wazungu mara nyingi au hata maalbino huwa na mafuta malum ya ngozi kwa ajili ya kujikinga na miale ya jua hivyo kujiepusha madhara yanayoweza kutokea kutokana na miale hiyo hata tafiti zinaonyesha hivyo soma hapo chini.

lack people are much less likely to get skin cancer.

Here's a graph from the CDC showing just how much less likely it is for black people to get skin cancers:

The yellow line at the very top shows skin cancer rates for white people while the red line at the bottom shows skin cancer rates for black people.

The reason for the difference is a pigment called melanin which absorbs UV light.[2] Black people have much more melanin in their skin. By absorbing the UV light, melanin prevents the UV light from damaging DNA, and thus reduces rates of cancer.

Melanin levels increase in white people when they get a tan.

Melanin is also found in the hair which is why your hair provides some UV protection

Sasa tuje kwenye suala la IQ kwanza kabisa napenda kuwa muwazi sijui ni kwa namna gani IQ inapimwa ila nina wasiwasi kuwa na mambo yaleyale ya kumpima intelliigent ya nyani na samaki kwa uwezo wao wa kupanda obviously nyani atashinda,Ingawa kuna tafiti nimeziona kwamba kuna utofauti katika ubongo wa mwafrika na mzungu ila wacha niendelee kufuatilia.

Natumai nimejitahidi kujibu maswali yako mkuu.
 
FaizaFoxy

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
71,295
2,000
Qur'an 49:

13. Enyi watu! Hakika Sisi tumekuumbeni kutokana na mwanamume na mwanamke. Na tumekujaalieni kuwa ni mataifa na makabila ili mjuane. Hakika aliye mtukufu zaidi kati yenu kwa Mwenyezi Mungu ni huyo aliye mchamngu zaidi katika nyinyi. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua, Mwenye khabari. 13

O mankind! We created you from a single (pair) of a male and a female, and made you into nations and tribes, that ye may know each other (not that ye may despise (each other). Verily the most honoured of you in the sight of Allah is (he who is) the most righteous of you. And Allah has full knowledge and is well acquainted (with all things). (Surah HAl-Hujurat, 13)
 
"We created you"

Notation from the supreme Intelligent being.. ....

Allah might be a representation of the higher Intelligent entity who constructed a pair of genetic code that resulted into human being...

Sent using Nokia 8 Plus
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom