Secret Star
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 1,708
- 1,553
Habari. Kwa wasiojua, Leo napenda niwape Elimu juu ya Mungu kutoka Misri ya kale aliyeitwa "Amen". Misri ya kale ambayo Vitabu hivi vya sasa huita ni taifa lililolaaniwa kuna mambo mengi sana yaliyojificha ambapo hakuna Dini inayotaka Ufahamu.
AMEN Pia unaweza kumtamka kama Amun, Amon, Ammon, Amen, au Amin. Maana yake ni Mungu Asionekana, Aliejificha.
Huyu alikuwa ni Mungu Mwenye Nguvu Kuliko Miungu Mingine Mingi, Uwezo Wake Ulikuwa si wa kawaida. Jina La Mungu Amen Lilipochanganywa na Ra (Mungu Jua).
Wamisri walimfananisha Na Nguvu kuu isiyooneka (Upepo). Mbali na kuwa Wamisri walikuwa wana miungu zaidi ya 700, Waliamini ndiye Baba wa Mingu Yote.
Hivyo Katika sala Zao zote za kuomba kwa miungu wengine, Ilikuwa ni lazima Jina la Amen liwekwe kwenye Maombi Ili Maombi hayo Kujibiwa.
Alama ya Mungu huyu ilikuwa ni Binadamu aliye na Fimbo kuu, Huku akiwa amevalia Kofia ndefu kwenda juu. Katika wanyama Amen Alilinganishwa na Mbuzi Beberu.
Mafarao zaidi ya Mia 700 waliopata kutawala Misri, katika nyakati tofauti ni Pharao mmoja tu anayejulikanaye kama Akhenatten Ndiye Hakumsadiki Amen.
**Ikumbukwe Dini ya Misri ilishakufa yapata miaka Zaidi ya 2000 iliyopita, Kilichobaki ni kumbukumbu.
Leo hii Dini zote Ulimwenguni, Kama vile
hinduism, judaism, christianity, islam wanaweka Jina La Amen mwisho wa maombi Yao!
Ikumbukwe Wamisri waliweka Neno Amen Mwisho au mwanzo wa maombi, Sababu waliamini Amen ndiye Baba Ya yeyote anaieitwa Mungu.
Asubuhi njema.