bernard10
JF-Expert Member
- Apr 2, 2021
- 410
- 731
HABARINI NDUGU ZANGU NATUMAINI MU WAZIMA WA AFYA.
Nimekuwa nikijiuliza maswali mengi juu ya hawa magaidi au vikundi vya waasi hasa barani Afrika lakini zaidi hawa Islamic state kutoka Mozambique Cabo delgado Jimbo ambalo lipo karibu kabisa na nchi yetu Tanzania.
Waasi hawa walianza kutikisa mnano katikati ya mwaka 2018-19 huku wakifanya mashambuliz yao kwa mara ya Kwanza 2019.
1.Je Ni Nani mshirika wao mkubwa au ambae yuko nyuma Yao sisi hatumuoni?
2.Ni Nani anayewauzia siraha au labla wanazitengeneza wenyewe.??
3.Hivi Ni kweli jeshi la wananchi wa Msumbiji/Mozambique wameshindwa kabisa kuwakabiri ikiwa makao makuu Yao yanajulikana?
4.Taasisi za amani duniani nazo nokweli zimeshindwa?? UN, AU na taasisi au nchi nyingine zenye nguvu??
5.Nini hasa wanachokitafuta huko Mozambique au Nini sababu ya wao kufanya mashambuliz yao huko.??
NATUMAINI MIONGONI MWETU KUNA WATAKAO TOA MAJIBU MAZURI YA MASWALI HAYO NNAYOJIULIZA(TUNAYOJIULIZA) AU KUTOA MWANGA UTAKAO NIFANYA NIELEWE(TUELEWE).ASANTE.