Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

Walker Water

JF-Expert Member
Aug 23, 2022
785
2,953
Nawasalimu wote wanajukwaa,leo nataka tujifunze silaha kuu tano zinazotumika katika ulimwengu wa kiroho.

Kama wengi tunavyojua kuwa katika ulimwengu wa kiroho kuna falme kuu mbili,falme ya kwanza ni ufalme wa nuru na falme ya pili ni ufalme wa giza.

Falme zote hizi zina muundo na uongozi na mamlaka kamili.Katika viumbe vyote binadamu ndiyo kiumbe pekee mwenye sifa ya kuweza kuishi katika ulimwengu wa kiroho na ulimwengu huu wa kimwili kwa wakati mmoja.Inawezekana umesoma vitabu vingi sana na kufanya jitihada nyingi sana ili ufanikiwe katika maisha yako lakini bado umeshindwa.

Nakushauri fuatilia darasa hili kwa umakini na siku ukimaliza Lazima ufanikiwe kwa kuwa manbo yote huanzia katika ulimwengu wa kiroho na ndicho utakachojifunza hapa.

Zifuatazo ni silaha kuu tano za ulimwengu wa kiroho.
1. Damu
2. Jina
3. Kiti
4. Maneno
5. Ardhi na Mbingu

Ukiweza kujifunza silaha hizi kwa umakini,utaweza kujua ulimwengu wa kiroho unavyofanya kazi,utapata nguvu za kuingia katika ulimwengu wa kiroho,utashinda vita vya kiroho na kimwili kwa urahisi na utafanikiwa kimwili na kiroho katika mambo yako.

Somo hiki litakuwa na jumla ya vipande kumi (10),yaana tutajadili silaha moja moja inavyotumika katika ulimwengu wa kiroho upande wa ufalme wa giza na moja moja inavyotumika katika ulimwengu wa kiroho upande wa ufalme wa nuru.

Naomba maoni yenu ya tuanze kuijadili silaha ipi, na tuanze na falme ipi kati ya falme ya nuru au ya giza au somo liishie hapa maana watu wengi hawaamini kama kuna ulimwengu wa kiriho.
 
First things first, kabla ya wanafunzi hatujaingia darasani je wewe binafsi Mwalimu wetu umeshafanikiwa?

Maana hatutaki mambo yale ya muandishi wa kitabu cha siri za utajiri mpaka leo hana pesa za kuchapisha kitabu kilichojaa siri za utajiri.
 
Mimi nilishafanikiwa na kama unaelimu hii ya ulimwengu wa kiroho hata kidogo nende kanicheki huko utaniona.Ila uwe makini maana ukinicheki vibaya unaweza kutoka kipofu.
 
Nawasalimu wote wanajukwaa,leo nataka tujifunze silaha kuu tano zinazotumika katika ulimwengu wa kiroho.

Kama wengi tunavyojua kuwa katika ulimwengu wa kiroho kuna falme kuu mbili,falme ya kwanza ni ufalme wa nuru na falme ya pili ni ufalme wa giza.

Falme zote hizi zina muundo na uongozi na mamlaka kamili.Katika viumbe vyote binadamu ndiyo kiumbe pekee mwenye sifa ya kuweza kuishi katika ulimwengu wa kiroho na ulimwengu huu wa kimwili kwa wakati mmoja.Inawezekana umesoma vitabu vingi sana na kufanya jitihada nyingi sana ili ufanikiwe katika maisha yako lakini bado umeshindwa.

Nakushauri fuatilia darasa hili kwa umakini na siku ukimaliza Lazima ufanikiwe kwa kuwa manbo yote huanzia katika ulimwengu wa kiroho na ndicho utakachojifunza hapa.

Zifuatazo ni silaha kuu tano za ulimwengu wa kiroho.
1. Damu
2. Jina
3. Kiti
4. Maneno
5. Ardhi na Mbingu

Ukiweza kujifunza silaha hizi kwa umakini,utaweza kujua ulimwengu wa kiroho unavyofanya kazi,utapata nguvu za kuingia katika ulimwengu wa kiroho,utashinda vita vya kiroho na kimwili kwa urahisi na utafanikiwa kimwili na kiroho katika mambo yako.

Somo hiki litakuwa na jumla ya vipande kumi (10),yaana tutajadili silaha moja moja inavyotumika katika ulimwengu wa kiroho upande wa ufalme wa giza na moja moja inavyotumika katika ulimwengu wa kiroho upande wa ufalme wa nuru.

Naomba maoni yenu ya tuanze kuijadili silaha ipi, na tuanze na falme ipi kati ya falme ya nuru au ya giza au somo liishie hapa maana watu wengi hawaamini kama kuna ulimwengu wa kiriho.
Darasa linaanza saa ngapi?
 
Mashehe ubwabwa watapita kimyaaa.
Anyway
mtu wa Mungu hili darasa ni muhimu sana.

Life is spiritual
Hili jambo mashehe tutalivalia njuga sana maana ni jambo linalohusu elimu.

Sisi mashehe tunaamini sana katika mambo ya ulimwengu wa roho na vitu visivyoonekana.

Imani ya Uislamu kwa asilimia kubwa inabebwa na kuamini vitu visivyoonekana kama Mungu, roho, malaika, akhera, jahannamu n.k.

Niko hapa siti ya mbele kusubiri darasa, litakalokuwa sawa mwalimu nitampongeza na ikihitaji msaada wa ufafanuzi nitatoa.

Pia nitakosoa kwenye mapungufu au kurekebisha mtazamo.

Nikiwa na swali mwalimu ntaomba ufafanuzi

Leta nyuzi mwalimu acha kukusanya maoni.
 
Asante sana maana hata ulimwengu wa roho hauna dini.
 
Back
Top Bottom