Kuna uhusiano wowote wa Jesuits na Knights katika huduma mbalimbali duniani?

comrade igwe

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
7,295
3,945
Salaam

wana jf

Ningependa kufahamu kuna uhusiano gani uliopo ndani ya kanisa katoliki baina ya jamii ya kikristo ya kanisa katoliki inayoitwa jesuits na jamii nyingine ya kikatoliki inayoitwa Knights je hao ni nani? Majukumu yao, nini mamlaka ya kiutawala ya papa juu ya hizo jamii???
 
Nina gunia la popcorn ili nitulie tuliiii niwasubiri wenyewe wataalamu..maana nami nilikuwa natatizika sana kuhusu hizo jamiii
 
Back
Top Bottom