Sheikh Yahya Hussein alikuwa mtu wa usalama!?

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,657
20,940
nilisoma hii ishu kwenye kitabu The dark side of Nyerere cha Ludovick Kaijage. baadhi ya sehemu anasema.
walivyokutana.
upload_2017-1-9_14-53-55.png


hapa akamuibia documents.
upload_2017-1-9_14-58-13.png

Hapa anakuta vitu vyake kwenye mikono salama.
upload_2017-1-9_14-50-17.png
 
Possible, pia kuna mmoja kazi yake ilikuwa ni mchimba makaburi na alikuwa anaishi maisha duni sana, nyumba ya miti na nyasi, nguo kuukuu... Alipofariki time ya kutambua mali alizoziacha, kila mmoja alibaki kinywa wazi, alkuwa na assets za maana tu, nyumba za maana, lodges, mashamba, mifugo, frem za biashara etc. Usalama sio watu wa mchezo mchezo hata kidogo
 
Back
Top Bottom