Tron (TRX) the sleeping giant and Gamy Crptophasia

gamy

Member
Jan 11, 2018
9
6
Tafsiri ya bahati kwa watasha ni tofauti na yetu sisi waswahili..wao wanaamini "lucky happens when preparation meets opportunity"

Nikitafakari hii inaleta maana kwangu unajua kizazi hiki chetu tuna bahati Sana tumezaliwa katika right opportunity and time of evolution for financial freedom where monetary institutions zinaondoka mikononi mwa central Banks na mama Janet Yellen wa Federal reserve anakuwa kibogoyo incase of financial muscles.

Anakosa meno ya kung'ata tena kiuchumi..maana uchumi unakuwa decentralized kwa maana ya watu wanachukua hatamu ya maisha yao kiuchumi.

Swali linakuja are you prepared enough ili uweze kuitumia hii opportunity yako vizuri katika kipindi hiki cha infancy of this financial freedom ili upunguze ukali wa maisha na si ajabu kuwa millionaire kabisa!? Time imekufavour umeijua hii ishu mapema na kwa wakati maana katika hii biashara hakuna uchawi mwingine zaidi ya kubuy dip or early when the price is dirty cheap even $100 inabadilisha maisha..

wengi tumekuwa wapole baada ya Bitcoin, ethereum, Bitcoin cash kutuacha but na hizi ndogo zenye potential ya kuwa huge zituache!? Hell no! Hatujachelewa! Experts wa haya masuala wanasema 2018 ni mwaka wa crypto na hiyo inadhihirishwa na mitandao yote mikubwa ya coin exchange market kushindwa kuhimili idadi kubwa ya new user wanaoingia kwa kasi kubwa....!

Point to note; people are trapped on the sidelines because exchange are frozen to new account. We virtually have a closed Market now. This alone is the huge for us to invest now. Imagine the market is approaching 1trilion market capitalization while closed..what if when opened!?

Don't wait for the market to mature and invest..it will be too late.. Always buy cheap and hodl for your dear future. When buying at cheap make sure you get good rewards. Crypto are in infancy stage don't buy at cents and sell at cents for this long term investment.

Swali linakuja what is cheap and what has potential to be something huge in the market currently for the future benefit of long holding( Hodl)!? Tron is the sleeping giant..very cheap and affordable almost a cent now..think how big China is and what could this mean!?

4128d9397f5449ab06a1b93f45011486.jpg

A country with population of 1.6 billion people!? Its gonna be a lit..For a simple reason this coin is from China and it has full support from the government, backed with one of the best team ever ikiongozwa founder dogo smart and successfully sana Justin sun aliekuwa representative wa Ripple in China, founder wa social network kubwa ya China inaitwa Peiwo with milioni of users, 2015 Forbes under 30, e.t.c ukitaka kuijua zaidi hii project itakuwa successful research on Google about the founder.

But Ili ufanikiwe kwenye hii arena technology ni muhimu sana kwa hii tron ni 3G while Bitcoin ni 1G and Ethereum 2G imeziba mianya kibao iliyoachwa na hizi mbili hapo juu ina mpinzani mmoja tu Ripple ambae nae anakosa nguvu ya kuizuia kwa kuwa centralized anaturudisha tunakokimbia kwenye kichapo cha mabenki.

Matter of fact, sometimes we don't have to understand everything about crypto we just have to sit and understand the leader have visions that we don't see.

Actually we had a class under CMC wakati tunawafundisha, Tron (TRX) ilikuwa inauzwa 0.005 dollar per coin dec 12 2017. kwa dola 100 tu ulikuwa unapata coin 20,000 Ambazo leo jan 11 2018 ipo 0.12 dollar. Faida ya dola 2400 kwa mwezi mmoja tu, hapa bado hatujazungumzia Neo au Ripple (Xrp) ambayo last year imepanda kwa zaidi ya asilimia 30,000% .

15e287b00906eb3447336939b5754714.jpg

Nikusaidie hili, kwenye maisha kuna makundi matatu kiakili kuna Genius, Intelligent and normal peoples. Genius have strong ideas and they can't explain them that's when intelligent intervene to explain those difficult ideas to the normal people. They are very rare. Most of us are normal people..average thinkers. We see the world with our eyes quite different with Justin sun people who see the world with their brain..and smile! I always hates this bitter fact but it's gonna set us free.

Don't invest in something you don't understand...! Kasome kwanza upate hata less knowledge about this Noble knowledge.

Unaweza pitia hapa kupata updates za coin mbali mbali

Www.coinmarketcap.com

Gamy
CMC Co-Founder
 
Kuna aina Fulani ya watu siku hizi tunao Tanzania, hawajui kitu, hawataki kujifunza (kwa sababu ya uvivu) na nahisi pia wana wivu kwa wale ambao wanaju

Muda si mrefu watakuja hapa na kuanza kukutukana bila hata kujua nini unaongea.
 
Mind you nimenunua na kuhold Tron kibao price ikifika $10 tu I'll disappear to my own private island and you are not welcomed unless you are beautiful female.

Gamy
CMC Co-Founder

Mkuu mi nimetoa dola 2000 nimenunua TRON, CARDANO, VERGE, REDCOIN, STELLAR na SIACOIN. Hakyanani nitaenda kujenga nchi yangu
 
Naam; Cryptos,blockchain,AI,Robotics,geno sequencing,genetic editing.
Haya ndio mambo yanakwenda kubadilsha ulimwengu wetu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom