Jambo wadau.
Kuna mwanamke akihesabu tarehe za ujauzito wake mpaka leo ni wiki ya 27 na akiwa na wiki 8 alivyopiga utrasound ilisoma wiki 8 sawa sawa na hesabu zake za last period.
Sasa kuanzia...
Wadau habari zenu!
Kuna tatizo huwa linanikuta hasa kipindi cha joto Kali.
Ni kwamba kuna vipele natokea kwenye uume huwa vinaanza kuwasha kidogo mara nyingi kinatokea kimoja au viwili na muda...
Wasalaam wana jukwaa hili
Mimi ni kijana wa miaka 26,mwaka jana nilianzisha mahusiano na msichana ambaye tulijuana siku nyingi sana kama marafiki,ilikua June
Ilipofika mwezi wa 11 alipata...
Shirika la afya Uingereza “NHS” limesema hivi karibuni wataanza kutumia Mbwa kugundua saratani ya tezi dume ambayo huwaathiri zaidi wanaume kuanzia miaka 50. Kwa mujibu wa utafiti kwa zaidi ya...
Jana jioni niliingia Barbershop nikapaka super black; cha ajabu leo nimeamka kichwani kunawasha sana halafu kumetoka vipele vidogovidogo. Kichwa pia kinauma.. Naomba msaada kwa anayejua tiba ya...
Wapendwa naomba kuuliza ivi mtoto anaweza kuzaliwa mwezi wa 7 na 8? Maana huwa nasikia mtoto kazaliwa miezi 6 au 9 tu. Naomba mwenye ujuzi anieleze tafadhari...
hivi ikitokea mtoto kachomwa DPT-Heb-Hib paja la kulia badala ya kushoto na PCV paja la kushoto badala ya kulia kuna madhara gan
Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
Wakuu nimeona mimi binafsi yangu nikimaliza kufanya tendo la ndoa presha yangu inapanda, na nikifululiza kuhondomola uzito wa mwili wangu unapungua, sasa ni nauliza kama kuna kiwango fulani kiafya...
Wandugu,
Nimekuwa nachelewa sana kupiss katika tendo la ndoa mara baada ya kumaliza bao la kwanza sijajua hii hali ni ya kawaida kwa wanaume au kuna tatizo linaninyemelea?
Maana muda mwingine...
Nimetokwa na vipele vyekundu mgongoni vikubwa kidogo ghafla tangu majuzi..na vichache sehem ya tumbo ila sasa naona dalili vinaelkea kweny mapaja na homa usiku..kuna doctor nimemuulza nae hana...
1. MAZOEZI
Yanasaidia damu kuflow vizuri hasa sehemu za siri.
2. UTAMBUE MWILI WAKO
Hakikisha unaweza kuthibiti excitements zote kwenye mwili wako.
3. FANCY A SQUEEZE.
Unapokabia, ng'oa ndufyu...
Binafsi nimetumia dietery suppliments kwa mtoto wangu na imenipa majibu mazuri, so nimeona ni share na wazazi wengine.The suppliment have got chewable multivitamins with phytonutrients... na ni...
Written by Dr Francis Fredrick, MD
Imehaririwa na Dr Praxeda Swai, MD, MMED (Daktari bingwa wa afya ya akili)
Kwa kawaida huwa ni furaha kubwa isiyoelezeka kwa mwanamke kupata mtoto, na...
Habari wakuu,
Nimekua natatizo la kifua kwa muda mrefu nikitumia vitu vya baridi nakua natoa makoozi kwa muda mrefu nimeacha lakini hali bado ipo na pafu la kulia kwa chini asubuh linakua linauma...
Habarini zawakatihuu wakuu Kuna jambo linanisumbua takriban miezi 4 sasa
Nimekuwa mtu Ninae sononeka Nafsi yaaan moyo unakuwa unauma kabisa
Bila kujua chanzo ninini Nilihisi labda tatizo hili...
Wana JF naombeni msaada hasa madaktari au wenye uelewa kuhusiana na hili.mke wangu amepata ujauzito ambao umri wake ni mwezi mmoja sasa,wakati mwaka jana mwezi wa nane alijifungua tena kwa...
Habari za muda huu wana JF.
Naomba msaada wenu wadau Mke wangu anaumwa Jino na Limechimbika sana hadi sasa, Sasa nilikuwa naomba mwenyekujua Tiba Mbadala ya Jina Kuacha kuuma na kupona kabisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.