Chibudee
JF-Expert Member
- Dec 28, 2016
- 1,775
- 2,400
Habarini zawakatihuu wakuu Kuna jambo linanisumbua takriban miezi 4 sasa
Nimekuwa mtu Ninae sononeka Nafsi yaaan moyo unakuwa unauma kabisa
Bila kujua chanzo ninini Nilihisi labda tatizo hili linaweza kunikabili kwa sababu ya ugumu wa maisha nilio kuwa nao nakuangaika mdamrefu kutafuta kazi bila mafanikio
Lakini mungu kanisaidia Nimepata kazi Nanina week mbili sasa tangu nianze kuifanya
Lakini ninacho staajabu bado nafsi yangu inauma haina amani kabisa bilakujua chanzo nini
Nimekuwa mtu wakusononeka moyoni tuu kila wakati
Limenishinda hili nimeona niwashirikishe wenzangu na wataalamu waweze kunisaidia kimawazo
Au kugundua shida iliyopo kwangu niipi
Kwasababu hali hii inanisababishia kukosa raha kabisa hata nifurahi furaha haidumu
Natanguliza shukraan zadhati