Tiba ya Jino Kuuma

muvika online

JF-Expert Member
Nov 27, 2016
374
283
Habari za muda huu wana JF.

Naomba msaada wenu wadau Mke wangu anaumwa Jino na Limechimbika sana hadi sasa, Sasa nilikuwa naomba mwenyekujua Tiba Mbadala ya Jina Kuacha kuuma na kupona kabisa Naomba Anijuze Nipate kumtibu mke wangu.
 
unachemsha, magadi, matura (matoboro), limao baada ya hapo unachanganya na mafuta ya taa km kizibo kimoja hvi. Kisha unaweka kwny mdomo ktk dk kumi na tano
 
unachemsha, magadi, matura (matoboro), limao baada ya hapo unachanganya na mafuta ya taa km kizibo kimoja hvi. Kisha unaweka kwny mdomo ktk dk kumi na tano
Kwenye limao unachemsha yale maganda au? na vipi katika huo mchemsho huweki maji
 
Back
Top Bottom