Vipele sehemu za siri

Wazabanga kuku

JF-Expert Member
Dec 13, 2016
264
378
Wadau habari zenu!

Kuna tatizo huwa linanikuta hasa kipindi cha joto Kali.

Ni kwamba kuna vipele natokea kwenye uume huwa vinaanza kuwasha kidogo mara nyingi kinatokea kimoja au viwili na muda mwingine kundi dogo so vinaanza kuwasha kwa mbali then vinajitengeneza kama maji kwa ndani halafu baada ya siku 2 au 3 Vinapasuka na kupotea.

Hali hii huwa inatokea hasa kipindi cha joto Kali kama hivi karibuni ,imepita miezi kama 4 Hali hii ilipotea lakini hivi majuzi nimeshinda sana mazingira ya juani na vikatoka tena lakini kimoja kidogo na saa hv kimepasuka naskia tu Hali flani kama ya kidonda ,lakini baada ya siku 23 Hali inapotea na inaekaa hadi miezi kadhaa isitokeee.

Je tatizo hili ni nn kwa wale wataalam wanielimishe
NB: sifanyi ngono zembe kabisa
 
Nenda google soma HERPES SIMPLEX VIRUS-TYPE 2 utaelewa tatizo lako na nini kimesababisha.sadly hamna tiba ya hiyo virus.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom