Msaada: Nini husababisha hali hii ya uume wangu

uroto

JF-Expert Member
Jun 25, 2015
442
227
Wasalaam wana jukwaa hili

Mimi ni kijana wa miaka 26,mwaka jana nilianzisha mahusiano na msichana ambaye tulijuana siku nyingi sana kama marafiki,ilikua June

Ilipofika mwezi wa 11 alipata ujauzito,mwaka huu January nilimpeleka kwa wifi yake apumzke kutokana na kazi zangu kunibana na kushinda mda mwingi peke yake

na tangu ameondoka sijawahi kuchepeka,ila kilichonileta hapa ni namna mabadiliko nayoyaona kwenye sehemu zangu za siri

yaani uume wangu naona umepungua kiasi,na pia kipindi cha nyuma ulipokuwa unasimama,uume unakuwa mnene na kichwa pia kinakuwa kikubwa

ila kwa sasa naona uume umepungua unene kiasi na kichwa kimepungua,naombeni ushauri naweza kuwa na ugonjwa au tatizo lolote?


NYONGEZA: Sijihusishi na punyeto,niliacha mwaka 2013 mwishoni,na pia nilikua nimeathirika na hili,ila niliacha nasasa niko poa si kama zamani,

mara nyingi wanaume tunapoamka asubuhi,uume huwa umesimama,hvyo haya mabadiliko nimeyagundua kwa njia hii

Karibuni
 
Ulikuwa unatumia dawa za kuongeza nguvu za kiume na kuacha?Inaweza kuwa sababu
 
Sasa kama wife hayupo huo UUME wako unasimama mara kwa mara baada ya kuona nini?;);)
 
Ugonjwa kama huo unaitwa chango dawa ziko nyingi sema matapeli wengi sana.tuwasiliane mie niko Tanga nnazo dawa za mizizi na hali itakuwa kawaida.mshana jr anajua hizi dawa sio kama napakazia.sema kdg inabidi uwe mvumilivu maana ni kali sana.
 
Kama uliwahi kupiga punyeto huwa linachangia au msukumo wa damu kwenye uume umepungua . Muone daktari fasta.
 
Ugonjwa kama huo unaitwa chango dawa ziko nyingi sema matapeli wengi sana.tuwasiliane mie niko Tanga nnazo dawa za mizizi na hali itakuwa kawaida.mshana jr anajua hizi dawa sio kama napakazia.sema kdg inabidi uwe mvumilivu maana ni kali sana.

Asante sana mkuu kwa ushauri maidhawa,ntaku PM
 
Back
Top Bottom