Je, kondomu inazuia mimba na UKIMWI?

Njia salama ni kwenda hospital na kuchek afya zenu tu....
Mkishajua afya zenu wote mtakuwa huru zaidi.
 
condom ikivaliwa vizuri na tendo likafanyika kwa ustaarabu inaweza kuzuia UKIMWI na mimba pia
 
Back
Top Bottom