asante mkuu.Kwa kuongezea tu kidogo, metabolism ni process ambayo mwilli hutumia vyakula (wanga, protini na mafuta) ili kupata nguvu na kujijenga. Kwa hiyo matatizo kwenye mfumo huu yanahusu pia mafuta (fat mfano atherosclerosis - kujaa mafuta kwenye mishipa ya damu), wanga (carbohydrates mfano mzuri ugonjwa wa kisukari) na siyo protini pekee,
Ufafanuzi mzuri mkuu, thanks.Kwa kuongezea tu kidogo, metabolism ni process ambayo mwilli hutumia vyakula (wanga, protini na mafuta) ili kupata nguvu na kujijenga. Kwa hiyo matatizo kwenye mfumo huu yanahusu pia mafuta (fat mfano atherosclerosis - kujaa mafuta kwenye mishipa ya damu), wanga (carbohydrates mfano mzuri ugonjwa wa kisukari) na siyo protini pekee,