SEGUZO
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 280
- 196
Wakuu nimeona mimi binafsi yangu nikimaliza kufanya tendo la ndoa presha yangu inapanda, na nikifululiza kuhondomola uzito wa mwili wangu unapungua, sasa ni nauliza kama kuna kiwango fulani kiafya kilicho wekwa, muniambie ili na mimi pamoja na wengine wenye tatizo kama la kwangu tujue.