Vipele vyekundu mgongoni

meezy

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
685
1,207
Nimetokwa na vipele vyekundu mgongoni vikubwa kidogo ghafla tangu majuzi..na vichache sehem ya tumbo ila sasa naona dalili vinaelkea kweny mapaja na homa usiku..kuna doctor nimemuulza nae hana uhakika ni nin kuna dawa kanielkeza nipake ila hii naon unahtaji vidonge..mwenye uelewa na hili
 
dah pole sana mkuu, vinatoa maji?hivi ule ugonjwa ukiitwa mkanda wa jeshi bado upo kweli?
 
dah pole sana mkuu, vinatoa maji?hivi ule ugonjwa ukiitwa mkanda wa jeshi bado upo kweli?
Daaah cjaona maji..ila kuna m2 nae kanambia labda mchafuko wa damu..mkanda wa jeshi ndo upi huoo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom