Ndugu habari za hapa naomba kujua kupiga chafya asubuhi niugonjwa au hali yakawaida? pia umalizapo kuoga nakuanza kupiga chafya njingi niugonjwa au nihali yakawaida asanteni.
Hata mimi inanitokea kila siku mpaka nimeshazowea. Ikitokea nimeamka na sijapiga chafya basi huwa najiona mchovu sana na hata nkiingia darasani basi lazima nisinzie.
Kwangu huwa nachukulia kuwa nikipiga chafya basi hapo ndo nimeamka, kuanzia mwili mpaka akili.
Hata mimi ni kawaida tena kama kipindi hiki kuna kibaridi ndio balaa mpaka 7 zinafika,labda nisubirie mdau mwenye dawa ya hili,maana mimi hata usingizi ukikatika usiku huwa napiga chafya.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.