Msaada ndugu zangu kwa anaefahamu sululisho la huu ugonjwa au hata tiba yake

putin 2030

Member
Mar 24, 2017
19
8
aa57571d93b64aca52b61f730078f06f.jpg
 
Hata mimi nilikwisha ugua ugonjwa huu daktari mmoja bingwa wa magonjwa ya ngozi aliniabia hiyo ni kansa lakini nilitumia dawa rahisi Sana GENTRSON miaka sita iliyopita nimepona kabisa
 
Wengi hawajui huo ni ugonjwa na unaanzaga kama vipele mpaka unafikia hatua hiyo
 
Hata mimi nilikwisha ugua ugonjwa huu daktari mmoja bingwa wa magonjwa ya ngozi aliniabia hiyo ni kansa lakini nilitumia dawa rahisi Sana GENTRSON miaka sita iliyopita nimepona kabisa
Hilo jina la hiyo dawa liko sahihi kweli......maana nimeisachi google inakataa au tuwekee spelling vizuri "kama umekosea lakini"
 
Huo ni ugonjwa wa ngozi unaitwa "Keloids". Kwa kifupi ngozi yako inashida katika kutengeneza kovu pale inapoumia. Kuna uwezekano mkubwa umerithi ugonjwa huu.
Kwanza epuka na kuumiza ngozi yako "minor injuries" mfano unapochana nywele au unaponyoa. Ugonjwa wako ulipofikia inabidi upate dawa ya kuchoma kwenye ngozi inayougua. Tiba nyingine ni upasuaji. KCMC kitengo cha ngozi huwa wanapasua keloids zilizoshindikana.
 
Back
Top Bottom