Nisipo do usingizi hauji, shida nini?

moses musa

Senior Member
Apr 25, 2017
164
97
Jamani Nina Mke huu mwaka wa tatu, tatizo nisipo safiri, nikiwa naye lazma nichape ndipo nilale, nisipo do usingizi hauji, muda muafaka na kikosa usingizi juu nisipo do shida nini?
 
Fanya mazoezi ya viungo mkuu
Kimbia, nenda gym, cheza mpira.
Ukifanya hivyo mwili utakua fresh na usingizi utapata, hiyo shida iliwahi kunikuta nikatatua kwa mazoezi maana kila day nilikua nataka ku-do nikagundua nikiwa na maisha ya style hiyo ntakua natengeneza tatizo maana sio siku zote mwenzangu atakuepo
 
Kafanye CT scan ya kichwa!!

Nakuhakikishia ubongo wako umehamia kichwa cha chini:D:D
 
Back
Top Bottom