Investaa
JF-Expert Member
- Jul 3, 2015
- 810
- 707
Habari wanaJF, sio vibaya kujifunza hili kuhusu afya.
https://afyazone.org/what-to-eat-in-the-morning/
https://afyazone.org/what-to-eat-in-the-morning/
Thanks alot Mkuu, divisiblebyzero .
Umeniongezea jambo la msingi sana.Lakini kwanini usi-ikopi na kui-pesti humu?.
Huoni kuwa kwa sie akina holoi poloi tusiopenda kutembelea blogs mbalimbali tutakosa kitu katika uzi wako kwa kutojisumbua ku-surf kilichomo katika tovuti uliyotuwekea humu?.
Nimeipenda point namba mbili, Ni sugu sana miongoni mwetu.Nitaifanyia kazi.
Blessed.
Ahsante sana.Uwezi copy kila kitu Dahafrazeril, coz unavyocopy na kuweka huku unalimit watu wasione na mengine kuhusu mambo ya afya. Ndo maana nimetupia link wakajifunze na mengine maana sio hili tu.
Wengine tunatumia simu, kwanini usingeposti hapa ili nasi tufaidike? hata hivyo nashukuru kwa info...
Nadhani umekosea kum-copy na ku-reply alichokiuliza Bishop (Hapo juu) na badala yake ku-reply nilichokiandika mimi.Ata kama unatumia simu inaonesha vizuri hofu yako tu mkuu.