Mstari mweusi katikati ya tumbo kwa wajawazito

LUBEDE

JF-Expert Member
May 7, 2013
4,320
6,677
Wabobevu wa masuala ya afya ya mwanadamu,nimekuwa gizani kwa muda mrefu juu ya huu mstari ulionyooka katikati ya tumbo kwa mwanamke mjamzito,huwa una maana yeyote kuhusiana na ujauzito?
 
Huo mstari unaitwa linea nigra.mstari huu ndio mama akifisha wiki 12 za ujauzito ndo akija clinic anapimwa urefu wa huo mstari kwa kutumia tape measure. Mfano, kama baada ya kupima huo mstari ukawa na urefu wa 20cm,maana yake ni kwamba mimba ina wiki 20 au pungufu kidogo au zaidi kidogo. Yaani 1cm ya tape measure =1week of gestation. Sijui kama nimeeleweka. Nichek inbox kwa elimu zaidi
 
mwaga nondo tu hapa ongeza na Linea Gravidarum kabsa.
 
Tena linea nigra ni huo mstari chini ya kitovu kwa mwanamke ambaye si mjamzito.Ila akibeba mimba huo mstari unaonekana vizuri na unaitwa linea gravidarum
 
Mimi nina ALEJI na huo MSITARI... maana kila ninapouona kwa MJAMZITO asiye haramu kwangu....najihisi hamu ya KUGEGEDA...

Ama na kwa wenzangu iko hivyo...!!

Kweli napataga MZUKA sana nikiuona..
 
Wote wamesema vizuri ika hawajasema kwa nn unatokea

Mama akiwa mjamzito hormone ya Estrogen huwa juu zaidi..
Hivyo husababisha huo mstari kutokea hapo kwenye tumbo

Thanks
 
Back
Top Bottom