Tyrone mofekeng
JF-Expert Member
- Mar 19, 2017
- 694
- 609
Wanajamii jumapili njema. Kwa muda mrefu sana nimekua nikisikia kuhusishwa kitovu kuhusishwa na nguvu za kiume iwapo kitaangukia kwenye uume wa mtoto wakati akiwa mdogo.
Inanisumbua sana kujua iwapi ni kweli kuna uhusiano unaoweza kumuathiri mtoto kua asije kupata erection akuwapo. Mwenye weledi wa kutosha naomba kujuza iwapo ni kweli na iwapo ni kweli je kuna tiba za swala hilo.