Mrejesho: Mbinu za kuongeza maziwa kwa mama anayenyonyesha

xenon

Senior Member
Nov 17, 2016
130
79
Ahsanteeni kwa woote walio nishauri kutumia pilipili manga katika uji kwa mama asietokwa na maziwa na alifanya hivyo na hivyo, hivi sasa maziwa yanamwagika kama bwawa la Mtera ahsanteni kwa ushauri wenu na umefaa pia
 
aisee kama unaweza hata mwaka .. furaha ya mkeo ni muhimu kwa makuzi ya mtoto ila kama unaona vipi vipi na upendi familia yako chepuka tu ila ushauri tu
Kwa mimi nitampa miezi 4 tu.kwa kawaida kwa mwanamke alie jifungua anatakiwa akae muda gan ndo unaanza kumuingilia??

Sent from my D6603 using JamiiForums mobile app
 
Kwa mimi nitampa miezi 4 tu.kwa kawaida kwa mwanamke alie jifungua anatakiwa akae muda gan ndo unaanza kumuingilia??

Sent from my D6603 using JamiiForums mobile app
akikaa sana siku arubaini... ila mtumie kinga uzazi upo karibu anaweza nasa nyingine japo kama ananyonyesha vizuri kunauwezekano asipate mimba
 
Back
Top Bottom