Babu wa Kambo
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 559
- 808
KUHUSU USHOGA
----------------------------
Historia: Kwa ufupi tu, mapenzi yaJinsia moja hasa jinsia ya kiume yamekuwa yakipigwa vita miaka nenda miaka rudi katika maeneo mbalimbali duniani. Tamaduni, sheria na dini zimekuwa zikipingana na ushoga kwa sababu sio jambo la asili. Mnamo karne ya 12, kanisa katoliki lilipiga marufuku waumini wake kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja (ushoga). Kabla ya hapo, ushoga haukuwa kitu cha kujadili, ulipuuzwa. Lakini marufuku za kidini na kisheria zilianza kuwekwa pale ushoga ulipoanza kuota mizizi katika jamii.
Wataalamu wa tiba mbalimbali, madaktari na wanasaikolojia wamekuwa wakishindana kufanya tafiti juu ya ushoga; sababu, chanzo na tiba. Baadhi ya wataalamu wameona kuwa ushoga sio jambo la asili, huku wengine kama Dr. Sigmund Freud wakiona kuwa ushoga ni jambo la asili na hakuna sababu ya kutafuta tiba wala kuwatungia sheria za kuwakataza watu kushiriki mapenzi ya jinsia moja. Hata hivyo kwa kipindi kirefu ushoga uliwekwa kwenye kundi la maradhi ya akili (psychological disorders).
Ilipofika mwaka 1973, taasisi ya magonjwa ya akili ya Marekani (American Psychiatrist Association) iliondoa ushoga kwenye kundi la maradhi ya akili, hii ilifuatiwa pia na ushirika wa saikolojia wa hukohuko marekani (American Psychology Association) ulipouondoa ushoga kwenye kundi la matatizo ya kisaikolojia mwaka 1975. Kwa hiyo katika marekani, ushoga ukatolewa kwenye maradhi ya akili, na vilevile kwenye matatizo ya kisaikolojia. Uamuzi huu haukufanywa kwa sababu za kitafiti kama taaluma za kitabibu zinavyoelekeza bali kwa ushawishi wa kilaghai (lobying) na mashinikizo kutoka makundi ya mashoga huko marekani.
Mnamo mwaka 1990, shirika la afya duniani, WHO nalo likafuata mkondo wa kuondoa ushoga kwenye kundi la maradhi ya akili.
Saikolojia
Hakuna hitimisho rasmi la kutosha kueleza kama mapenzi ya jinsia moja ni matokeo ya maradhi ya akili au ni jambo la asili. Ingawa tafiti fulani zinaonesha kuwa watu wengi wanaojihusisha na tabia hii wame'ipata' baada ya kuzaliwa (acquired) na sio ya kuzaliwa nayo.
Elimu ya viumbe hai (biologia) haitoi ushahidi wa binadamu kuwa sahihi katika mapenzi ya jinsia moja. Vilevile, elimu ya maumbile ya binadamu (Human Anatomy) haitoi ushirikiano katika muingiliano wa kimapenzi baina ya wanadamu wa jinsia moja. Lakini jambo la hakika ni kwamba watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja wapo na wanafurahia tendo hilo. Hapo ndipo penye kufikiri.
Mwanasaikolojia Dr. Sigmund Freud anajaribu kuelezea namna mabadiliko ya akili-ngono (psychosexual) yanavyotokea kwa binadamu. Katika kile kinachoitwa 'Oedipus Complex, Freud anasema,
Akili-ngono (psychosexual) ya mtoto hukua kwa kupitia hatua tano, hatua hizo ni 1. Oral (mdomo) 2. Anal (mkundu) 3.Phallic (Uume) 4. The latent satage (hatua ya mpito) 5. Genetalia (sehemu zote za siri). Ni katika hatua ya tatu (phallic stage) ambapo mtoto huanza kujitambua kimaumbile na kujitofautisha na watu wa jinsia tofauti. Hatua hii hutokea kati ya umri wa miaka 3-6.
Katika hatua hii, binadamu huyu mtoto huanza kuwaona watu wa jinsia tofauti Kama watu tofauti na yeye. Vivo hivyo huweza kutamani kingono watu wa jinsia tofauti, wa umri wote. Kwa hivyo kwa watoto wa kiume huweza kuwatamani mama zao ambao huambatana nao kwa karibu kuliko mtu yeyote, na mtoto wa kike kutamani baba zao. Karibu mara zote, hatua hii hupita, na mara chache huweza kuendelea hadi wakati wa kubalehe. Lakini pia, katika hatua hii ya Tatu ya ukuaji wa akili ngono, mtoto huweza kujitamani mwenyewe. Na hapo ndio kunaweza kuambatana na kutamani watu wa jinsia yake. Bado elimu zaidi inahitajika kujifunza zaidi mambo haya yenye utata.
Dunia na ushoga.
Katika kitabu chake cha Conspirators Hierarchy, mwana intelijensia Dr. John Coleman anaeleza kwa kifupi tu namna serikali za marekani na uingereza zinavyofanyakazi kwa mashinikizo ya makundi ya siri, yakiwemo makundi ya mashoga. (Homosexuals). Makundi hayo ya (homosexuals) wamejiingiza katika makundi maengine ya siri kama vile, Order of st John of Jerusalem, Bachofen, Royal Institute for International Affairs (RIILA), Illuminati, Bilderbelgers, Trialterals, Freemasonry, Round Table, Cini foundation, Club of Rome, The Fabianist (waanglikana), Council of Foreign Relations (CFR), Zionist, Hellfire clubs, The Venetian Black Nobility, The Mont Pelerin Society, Bolshevism-Rosicrucianism, Rothchildren of Europe. Nk.
Yapo makundi mengi yenye nguvu ya fedha na intelijensia. Nimependa kunakili orodha hiyo ili ifahamike kuwa sio kitu rahisi tunapozugumzia ushawishi wa makundi haya katika serikali kubwa za dunia. Tunaweza pia kuwaongeza Jesuits Fathers (wakatoliki) ambao hawakutajwa na Dr. Coleman. Ni makundi ambayo serikali za dunia ya tatu hazifui dafu kupambana nayo.
Mara nyingi sisi watu wadogo tunanufaika na/au kuathirika pale makundi haya yanapokinzana au yanapoafikiana katika kazi zao, ndio pale unapoona sasa kanisa la Anglican linakubali ushoga, na katika kuliingilia kanisa katoliki tunaona papa Benedict anajiuzulu na anaingia papa Francis na kuweka rekodi ya kuwa 'Mjesuits' wa kwanza kushika wadhifa wa upapa. Ni mapambano tu.
Sasa; ushoga ulianza kwanza kukubalika (acceptable), maana yake katika mataifa hayo ushoga ulikubalika na kuwa sehemu ya maisha ya kawaida. Pili ukatungiwa sheria (legal), maana yake hutakiwi kuwapinga, la! Utahukumiwa. Lakini si hivyo tu, sasa hivi unatangazwa na kuhamasishwa kupitia vyombo mbali mbali vya magharibi. Mbinu kadhaa zinatumika kuhamasisha ushoga, Moja! Kupitia filamu na muziki, mbili kupitia vitabu vya nchi za magharibi na kuzuia vitabu vya nchi za Asia ya Kati (Arabia, Armaic) au 'semitic books'. Tatu kupitia dini (anglican church) kwa udhanio wa uratibu wa "The Fabianists".
Nne kupitia wataalamu wa tiba (madaktari na wanasaikolojia), tano kutumia intelijensia ya habari, sita kutumia tasisi za misaada (sir Elton John ni moja Kati ya wafadhili wakubwa wa tafiti za afya Tanzania) na kadhalika kadhalika.
Swali bado linabaki kuwa, kwanini haikutosha kuruhusu ushoga badala yake unatangazwa na kuhamasishwa! Tuendelee kujifunza
Bado kuna mengi ya kuandika , jinsi serikali za nchi nyingine zinavyopambana na ushoga wa magharibi, kwa mfano Urusi na Uchina zinavyodhibiti filamu, miziki, video na mitandao ya kijamii ya magharabi, mathalani tamthilia maarufu ya 'Game of thrones, lazima ichujwe name kundoa 'scenes' zote zinazohusu ushoga kabla ya kurushwa kwenye televisheni za China.
Tamthilia hiyo pia imepigwa marufuku kuoneshwa katika kambi za jeshi la uturuki (TSK). Orodha ya filamu na tamthilia zinazohamasisha ushoga ni nyingi. Intelijensia za magharibi zimetamalaki katika kutumia teknohama kueneza itikadi zao, na 'mambo yao' .Wakati mwengine huenezwa propaganda kuwa watu wa zamani wenye ushawishi walikuwa mashoga, mfano mwanasayansi Sir Isaac Newton, na Leonardo da Vinci. Lengo ni kutaka kuhalalaisha ushoga kwenye akili za watu.
Hatuwezi kumaliza kuandika.
Nitoe rai tu kwa watanzania, huku tukiendelea kujiuliza swali lilelile; kwa nini haikutosha kuruhusu ushoga na badala yake unatangazwa in kuhamasishwa?
Majibu ya swali hili yanaweza Kuwa magumu kuliko swali lenyewe, na bahati mbaya tayari tumeshaingiliwa. Katika mikoa ya kanda za juu kusini, Njombe, iringa nk, kumekuwa na ugawaji wa vilainishi kwa wanaume wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja, zoezi linaloambatana na upimaji wa VVU. Lakini kwa bahati mbaya zoezi hilo linafanywa kwa namna ya kuhamasisha ushoga.
Kuna habari ya mtoto wa kiume aliyeingiliwa kinyume na watu wazima huko Njombe. Kisha akapewa vilainishi (lubricants) au jelly, na yeye akawakusanya wenzake wa kiume ambao ni wanafunzi wa shule ya msingi kisha wakafanyiana na kugawana vilainishi!
Lengo la vilainishi laweza kuwa kurahisisha huo mchezo na kupunguza uwezekano wa kuambukizana maradhi, lakini zaidi, vilainishi vinaacha hamu ya kurudiarudia tendo hili ambalo kwa imani za wengi ni kharamu. Kwa nini kuhamasisha ushoga?
Wazazi na Walezi chukueni tahadhari, Serikali tuondoleeni hii aibu.....