Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Naomba kufahamishwa
0 Reactions
31 Replies
1K Views
Kwanza nipende kumshukuru sana Lavan Island yeye ndio chachu ya mada hii...nilikuwa sina ufahamu wa kutosha kuhusu kitunguu saumu japo nilikuwa najua kuwa ni kinga nzuri kwa mtoto anayetaka usiku...
53 Reactions
540 Replies
238K Views
Wakuu nipo na serious depression hii imetokea leo asubuhi. Baada ya mpenzi wangu kutoka kazini shift ya usiku aliniomba aje apumzike kwangu na kwa vile leo ni weekend nikamkaribisha coz nilikuwa...
34 Reactions
301 Replies
10K Views
Hawajawahi kukosekana wajuzi wa kila jambo humu. Naomba mniambie dawa ya haya mafua yaache kutiririka? na kichomi kinachouma upande wa kulia kiache kuchoma choma? ******🤧🤧🙃********* Lawama...
7 Reactions
146 Replies
3K Views
Revealed: Menopause Age Myths – Are You Early, On-Time, or Late? The Transition Timeline: Understanding Your Menopause Journey The natural cessation of reproductive cycles represents one of the...
0 Reactions
2 Replies
946 Views
Habari great minds, Nina tatizo la fangasi sugu sehemu za siri kwa miaka zaidi ya 4, huwa linanisumbua miwasho japo kuna muda linapungua na kupotea. Nimeshatumia kila aina ya dawa zikiwemo za...
5 Reactions
30 Replies
5K Views
Mimi nimewakumbuka hawa - Profesa Matunge r.i.p - Hawa Nyamichwo r.i.p - Ng'winzukulu Jilala r.i.p - Profesa Majimarefu r.i.p - Dr. Rahabu Lubago - Dr. Isaac Ndodi
13 Reactions
136 Replies
5K Views
Korodani zangu nikiziminya kwa juu zote mbili napata maumivu japo siyo makubwa sana,je kuna dawa?
0 Reactions
1 Replies
249 Views
"Habari viongozi, polen na majukumu, samahani naomba msaadq wadau mwenye kujua dawa......nasumbuliwa sana na tatizo la tumbo kujaa gas kwa muda sasa, dawa za hospitali zimeshindikana na nimepima...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wakuu poleni na Majukumu na tuendelee kupambana, nimekuja kwenu kijana wenu nipate msaada wa changamoto inayonisibu kwa sasa. Nmeugua vidonda vya tumbo tangu mwaka jana nligundulika baada ya...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Poleni kwa majukumu ya kila siku wadau wote wa jamiiforums hasa ukumbi huu wa JF Doctor. Naamini JF doctor kuna watalaamu wengi na watu wenye uzoefu katika masuala ya afya na shughuli...
2 Reactions
217 Replies
122K Views
Hapa nyumban Kuna mtoto wa miaka minne kakutwa na typhod wakampa hii dawa je nisawa?
13 Reactions
109 Replies
5K Views
Ndugu zangu musinicheke ila nina hali ya kupata kichefuchefu na kujiskia kutapika muda mwingi sana ila sitapiki mda wote natema tu mate naomba msaada hii hali inasababishwa na nini nitumie nini...
2 Reactions
19 Replies
812 Views
Naombeni nisaidieni, mtoto wangu alivimba shavu la kushoto last week, uvimbe huo huanzia kwenye sikikio kushuka chini. nikampeleka hospital na akapewa ampiclox akapona, leo asubuhi kaamka kavimba...
1 Reactions
11 Replies
30K Views
Habari za muda huu wakuu! Nimekuja hapa jukwaani kuna changamoto moja nahitaji msaada kutoka kwenu Ipo hivi nina mke wangu ana mtoto wa miezi tisa, anayenyonya sasa leo kuanzia asubuhi maziwa...
1 Reactions
22 Replies
1K Views
Nawasalimu ndugu zangu. Miezi kadhaa nilileta mada hapa nikashauriwa na kufarijiwa nanyi, ushauri wenu kwa 75% niliufanyia kazi na wengi walishauri kurudia vipimo hospital nyingine hasa Kamanga...
4 Reactions
62 Replies
9K Views
Habari naomba msaada kwa anayejua Dr mzuri wa tumbo la chakula na hospital anayopatikana
0 Reactions
6 Replies
529 Views
Habari za mida Wana jamii, Mimi ni kijana Nina umri wa miaka 29 miezi mitatu iliopita nilijigundua kua Nina uvimbe kwenye korodani kutokana na maumivu ya hapa na pale ndo kujichunguza nikagundua...
0 Reactions
4 Replies
731 Views
Pengine mada ilishawahi kujadiliwa siku zilizopita ila naomba Docs. mnifahamishe in simple language madhara ya kitabibu/kiafya ya kula na kuliwa Tigo. Napoangalia 'X' naona kama wanafaidi sana...
0 Reactions
54 Replies
78K Views
Early Sexual Activity and Cervical Cancer Risk in Africa: Understanding the Complex Connection The Alarming Reality of Cervical Cancer in Africa Cervical cancer stands as the most common cancer...
0 Reactions
2 Replies
605 Views
Back
Top Bottom