Kwa tafsiri isiyo rasmi toka kwangu.
Faida wanazopata wanaume ambao hawajafanyiwa tohara
Benefits enjoyed by males who are intact (not circumcised)
1. Full penis length and circumference. The...
Nahitaji nimepatwa na ugonjwa wa akili please kindly psychologists naomba msaada wenu wa haraka sana nitawalipa pesa yoyote Ile mnayohitaji tafadhalini jamani.
Kuna muda napatwa na moods swing na...
Hii ni changamoto ya afya ya akili watu huita Kichaa (Mental health challenge)
Mania ni changamoto ya afya ya akili ambayo mhusika huwa na dalili nyingi zikiwemo kuvaa mavazi ya kumelemeta ...
Nilipata ajali iliyosababisha kuonekana katika CT scan inaonyesha zygomatic fracture.
Tiba nazoambiwa na madaktari ni surgery lakini hospitali ya kwanza walisema mfupa utaunga wenyewe. Naomba...
Habari zenu naomba muhisike na iyo mada apo juu kuna ndugu yangu ni wa kiume anajiskia hali ya kutapika lkn hatapiki ina inapomjia hali iyo huwa anajiskia vibaya pia anapata hali ya kichefchef...
Habarini Madaktari na wafamasia wa humu Jukwaa la Afya. Nina changamoto moja imejitokeza ni kama miezi 4 au 5 imepita.
Kwanza nilipata muwasho mkali sana huku ukeni, kisha nikaja ona vipele...
I suggest hii dawa isiwe OTC, iwe tu under doctor's prescription.
Kama ilivyo cocaine na bangi hii kitu ndivyo utaenda nayo hivyo hivyo maana inakufanya uhusi na kujionan kuwa hauwezi ishi bila...
Ilianza kama utani suala la kujikuna ndani ya uke.
Ila hali ilizidi kuwa mbaya kwani ilikuwa kila nikiingiliwa basi napata maumivu sana na kuacha kufanya tendo.
Nilienda kwa wataalamu wa afya...
MPANGO WA KUNYWA MAJI YA KUTOSHA MWAKA 2025
Heri ya Mwaka Mpya 2025 Wana Jf!
Tukianza mwaka mpya wa 2025, kipaumbele nambari moja, kipindi chote cha mwaka kiwe afya zetu. Tufanye hivyo kwa...
Habari zenu ndugu zangu nahitaji kujua, Hivi mkojo uliokaa zaidi ya masaa manne haufai kutumia kupima mimba? Maana mchumba angu amenipa kwa chupa nikapime, sasa kipimo kinasoma hivyo ndugu zangu.
Jamani naombeni msaada ni kwa mda mfupi nimekuwa nasumbuliwa na maumivu ya mgongo upande wa kulia tu mara nyingi uwa makali hasa wakati wa usiku ukilinganisha na mchana na hii Hali naipata...
Habari wapendwa
Naomba kuuliza hivi bacteria h.pylori ni ngumu sana kuonekana kweny vipimo maan nilipima kama mara mbili hosp kunwa za private ikaonekana neg nimepima mpaka endoscopy kuangalia...
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu anasumbuliwa sana na koo na masikio kuwasha pia mwili kuwasha baada ya kuoga. Je tatizo linaweza kuwa ni nini!?
Habar wakuu,
Nimekuwa na tatizo la kutopata choo. Nilikaa kama wiki sijapata choo nikaamua kutumia dawa za "Bisacodyl", zilisaidia nikaharisha sana. Lakini tangu hapo zimepita wiki mbili sijapata...
Habari wana jamiiforum,
kwanza kabisa namshukuru mungu kwa kunipa afya njema hadi muda huu, natumai na ninyi ni wazima, kama ni mgonjwa mungu akupe nafuu uweze kupona.
nimeamua kuchukua nafasi...
Mwanamke mwenye kundi lolote la damu ambalo ni negative (A-, B-, AB- na O-) akipata ujauzito kutoka kwa mwanamme mwenye kundi la damu ambalo ni positive (A+, B+, AB+ au O+) mwili wake unaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.