Kuna nyuzi nyingi sana zimeanzishwa humu watu wakiomba msaada wa kusaidiwa kuondokana na tatizo la uume mdogo. Lakini hakuna hata msaada zaidi ya kukejeliwa na kuchekwa...
Kuna walio na tatizo...
Jamani, nina umri wa miaka 21, nina tatizo la uume kusinyaa na kuwa kama wa mtoto mdogo, na hata wakati wa tendo kabla sijaingiza ukeni huwa unasinyaa na hata ukiingia bado unasinyaa...
Katika miaka ya hivi karibuni, tumezidi kushuhudia ongezeko kubwa la matatizo ya kiafya kwa watoto na vijana. Kuanzia mwaka 2000 hadi sasa, imekuwa kawaida kusikia watoto na vijana wakikumbwa na...
Wakuu Habarini/asalaam/Shalom
Me ni kijana wa Miaka 25 Ila nipo kwenye mtihani ambao sijui nitatokaje
Nimekuwa nikiteswa na tatizo la mkojo kwa kipindi kirefu sana zaidi ya miaka 10+
Nikienda...
Wapendwa salaam.
Katika maongezi ya kawaida niliwahi msikia mtu akisema kuwa kikawaida shahawa zinapomwagwa ukeni hazitakiwi kushuka/kuchuruzika (kutoka ukeni).
Lakini endapo mwanaume...
Nimejitahidi kuacha sukari na chumvi kwa kiasi fulani ila nimeingia kwenye uraibu wa tende.
Kwa siku naweza kula 50. Meno yananiuma ila nikiziona tu roho inanianza. Nimeshindwa kuacha tende...
Hii imekaaje wakuu.
Niko hapa hospital moja ubungo, makuburi kuna jamaa alikuja kupata huduma. Nilifanya kumsindikiza.
Ila ninachokiona hapa halinivutii wala kunipa picha nzuri. Reception tu huyu...
Tahadhari: VAA BARAKOA KWA SABABU KIFO KIPO NDANI YA COVID-OMICRON MPYA:
⚠️ Tofauti inayoua 💀 lakini haionekani kirahisi 😱 ni:
🔥 Hakuna kikohozi 🗣️
🔥 Hakuna homa 🌡️
👉 Dalili zinazojitokeza mara...
Ufafanuzi wa Kisayansi:
Utangulizi
Katika maisha ya kila siku, tunazoea kuona mapacha wanaotoka kwa mama mmoja na baba mmoja. Lakini je, umewahi kusikia kuhusu mama aliyejifungua mapacha waliotoka...
Kutokana na ongezeko la magonjwa yasiyoambukiza nchini, Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Profesa Mohamed Janab ametoa angalizo kuwa licha ya kuharibu bajeti ya afya...
Habari za wakati huu.
Nimeandaa video hii ili kuzungumza kwa kina juu ya matatizo yanayo sababishwa na allergies na njia mbalimbali zakutibu zikiwemo mitishamba...
Habar wakuu naomba mnichambulie juu ya hii renal function na urine,,Sasa ktk urine Kuna protein 1+,ila ktk maabala binafsi siku nyuma urine haikuonekana shida naambatanisha na majibu ya sehemu...
Habar wakuu,nimefika dar kwa tatizo la mtoto wangu miaka9 anashida ya mgongo kunyooka,nilileta kwenu mpaka vipimo vya x-ray mkashairi Nifike moi hasa hasa nionane na daktar bingwa wa mishipa ya...
Habari za wakati huu wana jamvi. Naomba kujua je mtoto huyu ana changamoto gani na ni nini tiba yake? Kuna mtoto wa mjomba wangu kwa sasa ana umri wa miaka miwili na nusu. Mtoto huyu tangu azaliwe...
Rejea kichwa cha habari, Mimi ni kijana wa Rika la miaka 38, nilianza kujitambua na wasiwasi kuanzia nipo sekondari, shida kubwa ni namna ya kuzungumza mbele za watu(wasiwasi unakuwa mkubwa)...
Wazima vijana wenzangu kwa wazee? Kutokana naukweli kwamba wanga si mzuri natujitaidi kuupiga vita... binafsi nimeona kabisa naelekea pabaya,mpaka nishibe basi ni unga robo tatu wa dona na kilo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.