Utaratibu unaotumika kuanzisha huduma ya maabara na zahanati binafsi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utaratibu unaotumika kuanzisha huduma ya maabara na zahanati binafsi

Discussion in 'JF Doctor' started by Kig, Oct 17, 2012.

 1. Kig

  Kig JF-Expert Member

  #1
  Oct 17, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 1,060
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Poleni kwa majukumu ya kila siku wadau wote wa jamiiforums hasa ukumbi huu wa JF Doctor.

  Naamini JF doctor kuna watalaamu wengi na watu wenye uzoefu katika masuala ya afya na shughuli zinazoendana na afya ya binadamu. Kwa muda mrefu nimekuwa na wazo la kuanzisha maabara au dispensary lakini sijui taratibu za kuanzisha hii huduma. Mimi sijasomea udaktari wala mambo ya afya lakini napenda sana kusaidia jamii hasa katika swala la afya.

  Nikianzisha huduma hii itabidi niajiri watalaamu kwenye fani husika (yaani laboratory technicians, doctors and nurses) ili kutoa huduma bora ya vipimo vya magonjwa mbalimbali, ushauri wa kitabibu na tiba kwa wagonjwa.

  Naomba wenye uzoefu mnisaidie au mnipe maelezo kuhusu utaratibu mzima kuanzisha huduma kama hii (vifaa ninavyohitaji, mazingira kuweka huduma, usajili wa huduma yangu nk).

  Natanguliza shukrani.
   
 2. Rugaijamu

  Rugaijamu JF-Expert Member

  #2
  Jan 29, 2015
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 2,831
  Likes Received: 555
  Trophy Points: 280
  wadau mbona mpo kimya kwenye hili, jitokezeni
   
 3. Mponjoli

  Mponjoli JF-Expert Member

  #3
  Sep 22, 2015
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 668
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Habari wana JF.

  Naomba mtu mwenye mwongozo wa Wizara ya Afya wa namna ya kuanzisha zahanati binafsi ya afya ani PM tuwasiliane.

  Asanteni
   
 4. J

  John Masnja New Member

  #4
  Sep 22, 2016
  Joined: Sep 21, 2016
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Habar vp wana JF..? Nmesoma nursing nnawazo la kuanzisha dispensary yang plz mwenye mwongozo naomben msaada.
   
 5. T

  Tyupa JF-Expert Member

  #5
  Sep 24, 2016
  Joined: Aug 11, 2013
  Messages: 603
  Likes Received: 383
  Trophy Points: 80
  Nenda kwa mganga mkuu wa wilaya atakupa taratibu zote kwa sababu yeye ndie anaesimamia huduma zote za afya kiwilaya.
   
Loading...