Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Habari wakuu, nimewaandalia video fupi kuelezea juu ya mbinu za kujiepusha na magonjwa hasa yatokanayo na kufeli au kudhoofika kwa Figo na mfumo wa mkojo kwa ujumla, hope utaelimika na kuiishi uwe...
4 Reactions
10 Replies
752 Views
Hello bosses and roses.... Afya Mingle App ni suluhisho lako kwa mambo ya Afya na Mahusiano. Ni app pekee hapa Tanzania ambayo inakuwezesha kuwasiliana na madaktari wabobevu lakini pia kupata...
1 Reactions
5 Replies
458 Views
Habari ya asubuhi Kuna uwezekano wa mtu kupata mimba ikiwa alitumia p2 baada ya tendo? Na ikiwa within a week baada ya Kutumia P2 alifanya tena tendo lakini hakuchukua tahadhari yoyote, let's...
7 Reactions
53 Replies
2K Views
Human Papillomavirus (HPV) ni virusi ambavyo vinaenea kwa urahisi kupitia uhusiano wa kimwili. Ni moja ya maambukizi ya zinaa yenye ushawishi mkubwa katika afya ya uzazi...
5 Reactions
2 Replies
875 Views
Kama Rais msisitizo utakuwa kwenye hizi njia mbili Predict all cycles of abnormal protein mutation Integrate all cycles of target abnormal protein mutation into single equation so as it can be...
8 Reactions
71 Replies
2K Views
Karibu Dr'sonline polyclinic Online Clinic – Huduma za Afya Mtandaoni, Haraka na Salama Karibu kwenye kliniki ya kisasa ya mtandaoni inayokupa huduma bora za afya ukiwa popote ulipo. Kupitia...
0 Reactions
0 Replies
222 Views
Wakuu habari zenu, nina miezi 2 toka nioe. Cha ajabu mke wangu kila ifikapo tendo la ndoa anadai anaumia na hata tukisex anataka bao 1 tu nikiongeza la pili anaumia tena sana. MSAADA WAKUU MAANA...
12 Reactions
206 Replies
14K Views
Kuna tatizo la tumbo kuuma limenianza kama siku tano hivi Chakula kikipungua kidogo tu tumbo linaniuma kitu ambacho sio kawaida yangu Hapa penyewe linaniuma nafanya hima nikanywe supu ili...
5 Reactions
93 Replies
5K Views
Salaam! Huko mahospitalini tunaona kuwa gharama za baadhi ya vipimo ni za chini na nyingine ni za juu na vingine juu sana. Hii inapelekea hata baadhi ya vifurushi vya Bima za Afya kutokujumuisha...
0 Reactions
0 Replies
297 Views
READ NEXT PID Kwa Mama Mjamzito. Fangasi ukeni (vaginal yeast infection) husababishwa na kuongezeka kupita kiasi kwa fangasi aitwaye Candida albicans. Fangasi hawa kwa kawaida huishi ukeni bila...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Dawa ya miguu kuwaka moto🤔 🗣️leo nitapenda kuelekeza Dawa ya miguu kuwaka moto au kufa ganzi au kupoza au kuuma. chukuwa shabu vijiko 4 vikubwa chemsha kwenye maji ya ya Lita mbili kisha...
2 Reactions
2 Replies
809 Views
Dear Doctors, Kila nikiamka asubuhi nina mafua na chafya nyingi sana. Yani hii inaniumiza na situmii dawa yoyote kwa mazoea tu. Pia muda mwingine kama mchana/ jioni nayapata kutokana na...
2 Reactions
443 Replies
276K Views
Wana Jf tafadhari naomba kama kunamtu anajua dawa ya kuzibua mirija ya uzazi , kwani nimepima hospitali wamesema mirija imeziba siwezi kupata ujauzito.
0 Reactions
149 Replies
143K Views
Habarini wanajukwaa la JF Doctor. Nisiwachoshe na niende moja kwa moja kwenye mada, kutokana na matumizi ya vifaa vya kiumeme hasa runinga, kompyuta na smartphone kwa muda mrefu nimejikuta...
3 Reactions
30 Replies
4K Views
Naombeni ushauri nn nifanye Mke wangu ana mimba ya wiki 40 (leo ndo siku yake ya mwisho katika hizo wiki 40) ila bado hajajifungua. Tumbo halimuumi wala hakuna hali yoyote ya hatari inayomsumbua...
3 Reactions
30 Replies
1K Views
Baada ya kuhisi homa za mara kwa mara kwa kipindi kirefu kuumwa kichwa,viungo kukosa nguvu kupata kichefuchefu mda mrefu nikaenda hosptal nikapimwa mkojo upo sawa,skar ipo sawa,presha ipo sawa...
2 Reactions
35 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakuu Kama kicha cha habar hapo juu mke wangu amekuwa na hili tatizo miez sita sasa amekuwa akitokwa na uchafu ukeni Kama maziwa mgando iv,hii shida ilianza alipopata uja uzito...
7 Reactions
41 Replies
2K Views
Habari zenu WanaJF, Nnateseka sana na hii kitu (KIFAFA) Juzi Nimeanguka hadi nmevunja jino na kutoka Jino kabisa, Nshazunguka Sana Bila Suluhisho kama kuna mwenye kufahamu tiba anijuze Tafadhali...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari. Kwa anaejua. Je shahawa zinakaa muda gani ukeni ndo zina expire?
0 Reactions
32 Replies
80K Views
Waku habari,za mida hi,kuna hu ugonjwa umenitokea kwenye kanyagio la mguu na miaka zaidi ya kumi,nimeenda hospt ila siku pata dawa ya kunifaa,sijui ni ugonjwa gani?niliwai ku geogle wakaniambia...
2 Reactions
10 Replies
868 Views
Back
Top Bottom