Habari za muda huu wakuu!
Nimekuja hapa jukwaani kuna changamoto moja nahitaji msaada kutoka kwenu
Ipo hivi nina mke wangu ana mtoto wa miezi tisa, anayenyonya sasa leo kuanzia asubuhi maziwa yamekata ghafla kiasi cha kupelekea mtoto kushindwa kunyonya,
Sasa nimeleta jambo hili kwenu kwa mwenye experience anijuze tatizo linaweza kusababishwa na nini na tiba yake ni ipi.
Natanguliza shukrani zangu kwenu