Nini madhara ya kula na kuliwa tigo?

tanga kwetu

JF-Expert Member
May 12, 2010
2,194
1,434
Pengine mada ilishawahi kujadiliwa siku zilizopita ila naomba Docs. mnifahamishe in simple language madhara ya kitabibu/kiafya ya kula na kuliwa Tigo. Napoangalia 'X' naona kama wanafaidi sana. Pia naona wale wanaoliwa Tigo hawana uchafu, je wanafanyaje ku-empt nanii zao?
Nawasilisha!!
 
Hapo ndipo umuhimu wa Rev Masanilo unapo onekana..FREE Masanilo
 
ukitaka kujua utamu wa ngoma ingia ucheze
so acha kutuchosha yameshajidiliwa hapa tafuta uone kama unajiandaa kuanza achana na huo uchafu
 
...topic ya sasa iitwe TIGO revolution; na washiriki wawe TIGO all stars; au vipi?
 
Hao unaowaona wameshajikana na wako tayari kwa lolote. Si maisha halisi yale japo yanatamanisha sana. So tumia akili yako japo tanga ndio michezo yenu
 
Wewe jaribu kuliwa hiyo tigo halafu utuletee ripoti.....kama infaa utaungwa mkono hakika....mimi sitakuunga mkono kwa sababu ni dhambi
 
Mdau jitahidi kuushinda moyo!Tamaduni za mbele zinatuharibu,kumbuka zile ni movie wanakandamizana bt mwisho wa siku wanapata mapene!Me nakuomba kama hujaliwa wala hujala hilo jicho plz 2lia maana katika ile dhambi wakati inafanyika shetani anakuwa hakushawishi zaidi anakuwa anashangaa jinsi wanadamu tunavyojitungia dhambi pasipo kushawishiwa na ibilisi!in short shetani haipendi na anaiogopa dhambi hii! afu pia usijeleta mambo ya sodoma na gomola 2ache watoto wa Yesu 2jidai na ulimwengu wetu! nadhani ntakuwa nimekujibu kitaalamu swali lako!
 
its realyy worst
na madhara yake ni haya hapa

kwanza inaweza kusababisha magonjwa ya zinaaa.
pili.inasababisha kuregea kwa ****** kwa mwanamke.hence hata mavi atakuwa anashindwa kuyabana
pia inaweza ikasababisha vidonda kwa msichana.c unjua wengine wakiwa wanatomba.wanapiga kwa sifa,hali hii inaweza ikasabab isha msichana atembee upande au asiweze kutembea kabisaa kwa siku hiyo yeye maumivu kwake

PIA JAMANI TIGO IS NOT MEANT KWA KUGONGANA.HILE NI SEHEMU YA KWENDA HAJA KUBWA.
MUNGU HAJAKOSEA KUUMBA K NA TIGO.

ACHENI ULAFI NA KUJARIBU VISIVYOJARIBIWA
 
Mdau jitahidi kuushinda moyo!Tamaduni za mbele zinatuharibu,kumbuka zile ni movie wanakandamizana bt mwisho wa siku wanapata mapene!Me nakuomba kama hujaliwa wala hujala hilo jicho plz 2lia maana katika ile dhambi wakati inafanyika shetani anakuwa hakushawishi zaidi anakuwa anashangaa jinsi wanadamu tunavyojitungia dhambi pasipo kushawishiwa na ibilisi!in short shetani haipendi na anaiogopa dhambi hii! afu pia usijeleta mambo ya sodoma na gomola 2ache watoto wa Yesu 2jidai na ulimwengu wetu! nadhani ntakuwa nimekujibu kitaalamu swali lako!

You have proved to be the best among the good people.
kweli hata shetani anatushangaa sana na dhambi zingine tunazofanya
 
Pengine mada ilishawahi kujadiliwa siku zilizopita ila naomba Docs. mnifahamishe in simple language madhara ya kitabibu/kiafya ya kula na kuliwa Tigo. Napoangalia 'X' naona kama wanafaidi sana. Pia naona wale wanaoliwa Tigo hawana uchafu, je wanafanyaje ku-empt nanii zao?
Nawasilisha!!

Watu wa tanga na jilani zenu wa mombasa ndio zenu kulana tigo. Ukitaka kujua madhara kama umeo wee mle tigo mkeo afu mpe mimba kisha wakti wa kuzaa omba nawe uwepo ndo utaona madhara yake.

Use proper tool for proper job
 
Maandiko matakatifu kwenye Biblia yanasema hivi:

LEVICITUS 18:22 "No man is to have sexual relation with another man. God hates that."

Linalomchukiza Mwenyezi Mungu kwenye utakatifu wake kamwe usilijaribu kwani atakulaani wewe na vizazi vyako na hamtakuwa na mafanikio kwenye nyanja zozote zile na siku zenu za kuishi duniani zitapunguzwa maradufu.
 
Hatari zilizoko kwenye ngono ya nyuma

• Uchafu: Ushoga unawaweka wahusika katika hali ya hatari ya uambukizi kwa sababu ya IDADI KUBWA YA VIINI VYA MAAMBUKIZI. Hii ni hatari kubwa sana hasa uume inapotumbukizwa kwenye tundu ya kutolea kinyesi kwanza halafu kwenye tundu ya tupu ya mwanamke.

• Magonjwa ya kuambukizwa: Magonjwa yanayoambatana na ngono ya nyuma ni HIV, saratani ya tundu ya mav.i na yale yanayopatikana kwenye mav.i kwa mfano: kuambukizwa kwa njia ya mkojo (UTIs), amoebiasis, shango, kisonono, salmonellosis, kaswende na mengineo.

• Ushoga ni mojawapo ya ngono hatari SANA kwa uambukizi wa HIV.

• Kuharibika kwa rectum [bakuli] na tundu ya kutolea mav.i—matokeo yake ni kutoweza kuzuia hata mav.i. Kwa kina mama wanao karibia kujifungua upata sana tabu wanaposukuma mtoto kwa ajili ya kuzaa na matokeo yake kutoka kinyesi badala ya mtoto, na hii inasababisha madhara kwa mama na mtoto.

• Ukumbuke hata ukitumia kondomu ngono ya nyuma ni hatari sana

NB:
Ikiwa una maswali yoyote tafadhali waulize wauguzi na madaktari katika Zahanati iliyo karibu yako, watakusaidia kwa karibu zaidi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom