Nina rafiki yangu anasumbuliwa na mafua huwa yanapona lakini haizidi wiki mbili yanaanza tena,
amepima mpaka HIV yuko salama..Ila ndo hivyo mafua yanamtesa..
Mwenye uelewa atujuze..
Figo ni kiungo muhimu katikamwili wa binadamu, hufanya kazi ya kuchuja damu huku ikiondoa sumu zote za mwili ,figo hufanya kazi ya kurekebisha kiasi cha maji mwilini (electrolyte level) kabla damu...
Hili ni tangazo nililotumiwa kupitia Zoom Tanzania, nimeona ni share hapa ili wenye matatizo hayo au wenye ndugu, jamaa na marafiki wenye matatizo hayo waelewe.
Kama kuna "catch" yoyote sielewi...
What Are Kidney Stones?
As the kidneys filter waste from the blood, they create urine. Sometimes, salts and other minerals in urine stick together to form small kidney stones. These range from...
habari jioni wakuu,poleni na majukumu ninashida moja ndugu zangu ya kwikwi, kila nikinywa chai yenye tangawizi, au viungo nimekuwa napata hali ya kwikwi kila nikipiga funda,naweza kunywa kikombe...
Moja ya sababu kubwa ya wanaume kutoka nje ya mahusiano ni pamoja na kuyakimbia matiti yaliochapa usingizi a.k.a malapa a.k.a ndala a.k.a usingizi wa pono na kuzifuata chuchu konzi a.k.a chuchu...
Nini maana ya kansa ya ngozi?
Hii ni uharibifu wa ngozi unaotokea katika seli ya ngozi na kukufanya uweze kusikia maumivu makali sana, ugonjwa huu hutokea kwasababu mbalimbali kama zifuatazo...
Habari..!!?.
Ni hivi..
Inasemwa ya kwamba dawa za uzazi wa mpango za kizungu zina madhara makubwa kwa watumiaji.
Je kuna ukweli wowote katika hili??
Wanajavi tupeane elimu juu ya hili tafadhali..
Wanasayansi wamepiga hatua kubwa katika matibabu ya binadamu kwa kupata kipimo cha damu kinachogundua aina tofauti za Saratani.
Timu ya Watafiti kutoka Chuo Kikuu cha Johns Hopkins wamefanyia...
Habarini za j3 ladies and gentlemen, kwa sasa wife ni mjamzito na alikuwa anasumbuliwa saaana na tumbo hvyo baada ya kwenda hospital tukashauriwa afanye kipimo cha ultra sound ili wajue mtoto...
Me ni kijana wa kiume.
Naomba msaada wa kujua kwanini nakojoa mapema sana ninapokuwa kwenye tendo la ndoa? Maana hunichukua dakika 2 mpaka 3 kufika kileleni kwa bado la kwanza.
Kwa bao la pili...
Habari yenu wana jukwaa, hivi juzi nilikuwa nahisi maumivu ktk kifua upande wa kushoto lakini si maumivu makali yaani nahisi kero tu na inatokea mara chache tu japo sasaivi nahisi inaweza kutokea...
Nimechoma sindano mwaka Jana mwezi 9 mwilini inakaa miezi mitatu ambapo ilitakiwa kuisha mwezi Wa 11 katikati ya mwezi ila mpaka Leo cjaona siku zangu.naomba jmni ushauri wenu plz
Mwenye jibu la kisayansi anisaidie.
Kama mama ananyonyesha mtoto mfano mwenye umri miezi 9 na kuendelea, akipata ujauzito, kuna athari zozote kuendelea kunyonyesha mwanawe?
Nina binti wa mwezi mmoja ratiba yake ya kulala ilikuwa nzuri tu na ya kawaida kama watoto wengine lakini cha kushangaza jana usiku hakulala kwa masaa kama sita yaani aliamka kama SAA tatu ya...
Habari zenu wanajukwaa,
Kwa muda sasa nimekuwa nikijiuliza kuna uhusiano gani ulipo kati ya mkojo na ujauzito, kupima mkojo kwa wadada imekuwa njia mojawapo kubwa ya kujua kama mtu ni mjamzito au...
Salamu kwenu JF Doctors,
Naheshimu sana uwepo wenu katika jikwaa hili na natambua mchango wenu katika idara hii ya Afya,
Naomba nijikikite kwenye swala lililonileta hapa, Nina mtoto mwenye umri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.