Kutokwa na haja ndogo

Mung Chris

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
3,367
3,778
Tunaye baba yetu mkubwa aanatokwa na haja ndogo muda wowote hivi tatizo ni nini? dawa ni ipi ya kienyeji au ya kizungu. nomba msaada kwa hili.
 
Tunaye baba yetu mkubwa aanatokwa na haja ndogo muda wowote hivi tatizo ni nini? dawa ni ipi ya kienyeji au ya kizungu. nomba msaada kwa hili.
Kuna vijiwe sehemu ya kutolea haja ndogo ndio maana mkojo unamtoka tu. Am guessing....
Mfano mchanga ukiingia kwenye tube ya baiskeli upepo huwa unatoka bila kizuizi. Kwa maelezo zaidi mwine daktari wa mambo ya mikojo na makojoleo.
 
Daktari wa mikojo na nini????
 
Muwahishe hospital kwan huo ni ugonjwa mbaya sana hasa kwa wazee wa miaka 70 na kuendelea.yalinikuta kwa baba mkwe wangu.nikimpeleka hosptali ya selian Arusha.aliingizwa gril kwenye tundu la uume ikachorongwa mpaka kwenye kibofu.nilimuhurumia lakin alipona na yuko vizur tu kwa sasa.8years ago
 
Tatizo la kutokwa mikojo ni tatizo linalowakabili wazee wengi hasa wanawake. Wataalam wameligawa hili tatizo kwa aina tatu..

  • kuna watu wanaotokwa na mikojo wawapo na stress yaani hapa stress zinazoongelewa ni kupiga chafya,kukoa na nk..
  • Kuna wanatokwa na mikojo baada ya mkojo kuwa umembana kwa ghafula na hawezi kufika choo kwa wakati hivyo ujikuta mikojo ikipita..
  • Na kuna wanaotokwa na mikojo wakati wote...
Nini usababisha hali hii kwa wanaume?

Hali usababishwa kwanza na kulegea misuli ya kibofu cha mkojo na sababu ya pili ni Prostate cancer.

Matibabu yake ni
  • dawa: usababisha kuimarisha misuli iliyolegea,
  • Mazoezi ya kibofu cha mkojo hasa kubana mkojo na mengineyo
  • operetion
  1. muhimu nendeni mkamuone dk wa Urology.
USHAURI
Ili kupunguza harufu za mkojo kwa mzee mnaweza kuongea naye na mkamnunulia pampers wa watu wazima au hata pedi..Ili hasinuke maana ped na Pampers unatupa ikilowa..au mkamnunulia gozi ikilowa inafuliwa zuri, na unaweza itumia tena. Ila ubaya wa gozi usafi ni muhimu kwani bila hivyo anaweza kupata infection

Zaidi ya hayo poleni kama familia na jaribuni kuwa na mzee wenu karibu kwani hata kwake ni mtiani mkubwa na anajisikia aibu..
 
Back
Top Bottom