Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Watu wenye unene uliopitiliza wako katika hatari ya kupata saratani/kansa ya kongosho mara 20 zaidi ya watu wenye uzito wa kawaida. Kongosho (pancreas) ni ogani inayotengeneza insulin ambayo ni...
0 Reactions
1 Replies
852 Views
Hivi mwanamke akikaribia kujifungua zikibaki ata miezi miwili uke wake huongezeka au?
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari wana Jf..naomba kufahamishwa ni hospitali gani nyingine naweza kupata urologist ukiacha Prof.Yongolo wa Tumaini hospital ambae nimejulishwa kuwa amesafiri na atakuwepo tena kuanzia tarehe 5...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Kama mjuavyo binadamu anatumia muda wa zaidi ya robo tatu ya maisha yake yote kulala, mimi binafsi nimekuwa nikilala kwa shida nikiamka maumivu ya mgongo, shingo na uchovu, stress nimeona shida ni...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
kuna ndugu yangu amegundulika na saratani ya tezi dume,daktari anamwambia tiba ni kutoa korodani sasa mgonjwa ana wasiwasi na tiba hii kwani hana dalili kubwa zaidi ya kupata mkojo kwa shida,je ni...
0 Reactions
2 Replies
871 Views
Wengine wanasema unaweza kua nayo lakini bado unajihisi mzima lakini utendaji wako wa ubongo unapungua kila siku,naombeni ufafanuzi kwa mwenye ufahamu juu ya magonjwa haya.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari wadau wana jf. Leo naomba ushauri wa kiafya kwenu wadau. Kuna jambo linanitatiza, naelekea kuoa mwisho wa mwaka huu lakin inabid nijiandae maana najiamin kuwa muda huo ukifika kwa kudra...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari.... Wakuu tuelekezane mazoezi anayopaswa kufanya mjamzito. Kwa mwezi wa 1- 3 ni yapi? Kwa mwezi wa 4-6 ni yapi? Kwa mwezi wa 7- 9 ni yapi? Itapendeza kwa picha zaidi Karibuni...
0 Reactions
0 Replies
939 Views
Habari wana jukwaa bila kupoteza muda ngoja niende kwenye mada mara nyingi niamshwapo ninapokuwa katika usingizi mkali huwa naongea maneno ya ajabu tena tofauti na maswali au shida ambayo...
0 Reactions
0 Replies
656 Views
Miaka 8 sasa tangu nipatwe na tatizo hili Nimekuwa nikitokwa na mkojo wa njano malanyingine huchanganyika na damu sijui tatizo nini naitaji msaada
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili umethibitisha nyama ya pweza (supu ya pweza) inasaidia kuongeza hamu na nguvu ya kufanya tendo la ndoa. Madini ya Zinc...
2 Reactions
5 Replies
5K Views
Vitamin C supplements tied to men's kidney stones: (Reuters Health) - Men who take vitamin C supplements are at higher-than-average risk of developing kidney stones, a new study from Sweden...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Habari nauliza nimadhara gani unaweza kuyapata ukijisafisha uke kwa kidole kama makungwi wanavyofundisha asante
0 Reactions
15 Replies
23K Views
Wajemen nna ndugu yang aliabotion kama mara3 last year kwa kutumia misoprosol sasa ameshka mimba kwa zumun lakuzaa na ina 2weeks ila chakushangaza anaona uchafu watoka ulochanganyika na dam jee...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nguvu na nyege ni muhimu katika kufurahia tendo la ndoa, maparachichi yanaweza kukupa vyote viwili. Maparachichi yana madini, mafuta (yanayolinda moyo na kupunguza lehemu/cholesterol) na vitamin...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Tatizo la kuziba mkojo linatoka na nini?? Vipimo vya mgonjwa vya tezi dume vinaonyesha lipo normal. Naomba msaada wa chanzo na matibabu yake!!
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Samahani wakuu Mimi nimemaliza kidato cha nne nataka nikasomee diploma ya clinical officer naomben ushauri kama inafaa pia kuhusu ajira na mshahara wake ukoje kwa sasa. Thankx
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Habari wana JF Kuna story nyingi mtaani kwetu kuwa banking soda au chapa maandashi inaweza kupambana na ( UTI ) kifupi ni kwamba UTI ni ugonjwa wa njia ya mkojo unaosababishwa na bacteria anaeenda...
6 Reactions
21 Replies
5K Views
Habari wadau,kuna dada anauliza kama anaweza kutumia folic acid na ujauzito wake una miezi 3.au muda umepita haviwezi kusaidia tena??wajuvi karibuni sana..
1 Reactions
19 Replies
12K Views
Mikono ni njia rahisi sana ya kusafirisha bacteria kwenda mdomoni. Mdomo na sehemu za siri ni lango la maadui kuingia mwilini (port of entry). Ngozi ikiyijeruhiwa pia inaweza kuwa lango lakini...
7 Reactions
9 Replies
3K Views
Back
Top Bottom