Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Mwenzenu kuna kitu kinaniuma lakini sijui ni nini, leo ni weak ya pili sasa, yaani kifuani katikati ya mapafu nasikia kama kichomi flani hivi. Sijawahi kupata tatizo hilo tangu nizaliwe. Sasa...
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Ndugu zanguni wana jukwaa poleni na mishughuliko ya mwanzo wa mwaka na hongereni kwa kuumaliza mwaka. Ndugu zanguni naomba ushauri, mtoto ana miezi tisa na mama ni mjamzito tena, je nifanyaje...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
mtoto wangu Wa mwaka mmoja anakohoa sana hasa ikfka usku nmempeleka hospital Mara kadhaa na amechomwa sana sndano lakn haponi!dozi ikiisha tu anaanza kukohoa, naomben ushauri sijui nimpe dawa gan...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nina vidonda kichwani miezi mitatu sasa nimemeza dawa Griseofulvin 1 kila siku kwa muda wa siku 15 ila bado tatizo ndo linazidi kuwa kubwa. Doctor ushauri wako please
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Msaada tiba na jinsi ya kuidhibiti, nawasilisha wadau mwanangu naona inampa usumbufu.
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Habari wakuu, Nimekuwa nasumbuliwa sana na mishipa kuvuta na kuuma mpk mguu unacheza cheza kuanzia usawa wa tumbo mkono wa kulia yaani sina raha kabisa. Nimeenda hospitali nikapewa dawa lkn...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Habarini wanajukwaa! Ni Siku ya tatu ndugu yangu apa anatokwa ni vipele mithiri ya chunusi mwili, na vinawasha in tatizo?
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Habarini za jioni wana Jf na poleni na majukumu ya kutwanzima
1 Reactions
3 Replies
992 Views
ELIMANATE THE PROCESSED FOODS Eliminate the processed foods,the hybrid foods,the GMO foods,eat only organic fruits and Vegatables with seeds which has a positive and not a negative effect on your...
2 Reactions
11 Replies
4K Views
Wana MMU habari zenu, Wakuu wenye experience na hii kitu ya ultrasound na utambuzi wa mimba kuwa ni mhusika sahihi wanisaidie kwa majibu.
0 Reactions
22 Replies
6K Views
Mwenzenu nimeshapima magonjwa yote last week Jtano nimepima ,Ijumaa na Yesterday hakuna ugonjwa wowote unaonekana , Malaria,UTI,Typhoid,Amoeba ,HIV ,Pregnant ,Stress Free .Not so sure) Depression...
2 Reactions
35 Replies
5K Views
Kama kichwa kinavyoeleza hapo juu,nina tatizo la kukasirika mara kwa mara bila sababu yeyote naombeni ushauri inafikia muda hadi nafsi yangu inanisuta kiufupi hili tatizo linaniumiza sana. Kama...
2 Reactions
29 Replies
9K Views
[emoji290] hakuna kitu cha thamani kama salamu, watu wengi sana mnapuuza salamu za mitandaoni mkizani ya kuwa nyie ni bora zaidi na hata hamna muda wa kupoteza, siku ya kukata roho utatamani Dunia...
0 Reactions
1 Replies
581 Views
Hapa ndipo uwezo wa Mungu unapoonekana. Sijawahi kusikia daktari yeyote duniani akielezea kinga ya mwili aliyonayo mwendawazimu. Kwanini ipo tofauti sana! Wanakula vyakula vya hatari sana havina...
5 Reactions
29 Replies
3K Views
Madaktari mliopo humu Jamvini tunaomba msaada wenu tafadhali kwamba Kitabibu au Kiafya Binadamu anatakiwa kutumia muda gani Kutoa Haja Kubwa yake pindi awapo Chooni kwani kuna mahala fulani...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Habari wadau wa jf doctor Naombeni msaada kwani nakata tamaa kabisa ya kupata mtoto baada ya kusimama kwa hedhi yangu ...iko hiv nilibeba mimba mwaka 2015 kwa bahati mbaya mimba ilivyofikisha...
5 Reactions
33 Replies
8K Views
Habarini wadau Mke wangu ana ujauzito na tarehe ya matarajio ilikua ni tarehe 1 lakini naona siku zinaenda tu mtoto wangu hazaliwi kazi yake ni kurukaruka tu tumboni kwa mama yake. Je watalamu...
0 Reactions
59 Replies
18K Views
Poleni na kazi wanajamvi mimi shida yangu ni kwamba naumwa sana tumbo kwnye kitovu linavuta kama manati jamani nisaidieni korodani moja imepanda toka muda sasa na sometime nyngne huwa inapandag na...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Nitangulize salamu na heshima kwenu wana JF mimi ni mwanamme wa makamo ilipofika mwaka 2016 mwezi wa 8 nilifanikiwa kuuaga ukapela ilipofika mwaka 2017 mwezi wa 7 nilijaaliwa kuitwa baba kwa Mara...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Back
Top Bottom