Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

1. Nina kabiliwa na tatizo la korodani yangu ya upande wa kushoto kuwa ndogo na laini kuliko ya upande wa kulia sambamba na uwezo wa kugegeda kupungua. 2. Ninalo tatizo la kuwa na mate lain yanye...
0 Reactions
1 Replies
805 Views
ZIFAHAMU FAIDA 7 MUHIMU ZA KUJAMIIANA KWA KIWANGO STAHIKI. Tendo la kujamiiana kwa walio wengi limekuwa ni tendon bora sana has a likifanywa na wenza ambao kila mmoja ana mvuto wa kimapenzi na...
2 Reactions
32 Replies
19K Views
Habari za asubuhi wapendwa natumaini ni Jumatatu nyingine tena ambapo kila mmoja anajiandaa kwenda katika majukumu ya ujenzi wa taifa niende moja kwa moja kwenye mada husika hapo juu. Je kwa...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Ninamtoto anasumbuliwa na ugonjwa wa taifod na u.t.i...,je kuna tiba yadozi moja kuweza kutibu magonjwa yote kwa wakati mmoja?
0 Reactions
9 Replies
15K Views
Habari wana JF, wife anawashwa sana sehemu zake za siri na ameenda hospital zaidi ya mara mbili lakini sioni mabadiliko hospital wamempima damu na mekuwawakimbadilishia dawa bila mafanikio...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Nawashauri watu msioshe kichwa na nywele mwanzo mnapo anza kuoga! Ni makosa makubwa haya. Hii inasababisha kubadilisha hali ya ujoto katika mwili wako haraka sana (na miili yetu ina Damu ya...
5 Reactions
26 Replies
5K Views
Wana JF Doctor vipi heka heka za Uchaguzi?Mwenzeni nina tatizo la kusinzia ofisini na nikiamka naamka nimechoka macho yanakuwa mazito na kuchoka. Naamka alfajiri sana( 5.30am) sana kwenda kazi na...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Ma daktari wetu huku Africa huwa wanajitahidi sana kutuhudumia, wengine hujituma hadi kufanya tafiti ya tiba mbali mbali kwa maradhi mengine yanayoibuka kila leo, ila sasa wana changamoto moja tu...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Je porns zinapunguza uwezo wa kufanya Mapenzi kwa muda mrefu?
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Rafiki yangu amezaa mtoto bila miguu, naweza kusema kuna vestigial legs. It is as if tibia and fibula bones are vestigial. Kwingine kote yuko vizuri ! Inawezekana ilisababishwa na nini? na katika...
0 Reactions
1 Replies
867 Views
As an add-on to their previously secretive partnership, Genmab is now licensing its bispecific antibodies for Gilead‘s pursuit of an HIV cure for as much as €248M. At the top of the Pyramid of...
5 Reactions
38 Replies
9K Views
Hivi siku ambayo mwanamke mimba inaingia mwilini mwake kuna dalili yoyote ndani ya hiyo siku au kwa muda huo wa tendo? Na je ni dalili gani hizo? [emoji120] [emoji120] [emoji120]
0 Reactions
66 Replies
12K Views
Kila mara naona matangazo yanatolewa kufanya kampeni ya kuchunguza kansa ya shingo ya kizazi na ya matiti kwa wanawake, lakini sijasikia tangazo la kampeni yoyote kusaidia wanaume kuchunguza kansa...
2 Reactions
13 Replies
979 Views
Hivi mfano umesex kwa bao moja na ukatolewa bikra, halafu ukakaa baada ya miake minne hujasex; Je, ukisex tena damu zinatoka au unaweza kuwa bado bikra?
1 Reactions
51 Replies
35K Views
Hope wote mu wazima. Mi ni mdada wa miaka 26, miezi minne nyuma kabla cjapata ujauzito nilipata tatizo kuishiwa damu nilizunguka hospital nyingi hadi regency wakasema sina tatizo, nikawa...
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Habari zenu wana MMU, napenda kujuzwa je, hali ya mjamzito kuhis mdomo mchungu hudumu kwa muda gan? Na nini tiba yake? Msaada wenu tafadhali
2 Reactions
9 Replies
30K Views
KWA NINI SI VYEMA KUANZIA DUKA LA DAWA (PHARMACY) PINDI UNAPOUGUA Neno Pharmacy linaelezwa katika kamusi ya mtandaoni ya Merriam Webster likiwa na maana mbili (tafsiri imefanywa na mimi...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Jamani nisaidieni mwenzenu yani kuna mda naumwa kichwa mpaka nahisi navurugwa na ukizingatia nimeenda hospital nimepima vipimo vingi hakuna ugonjwa mpaka kuna kipindi nikahisi may be nimeukwaa...
2 Reactions
20 Replies
4K Views
Za leo wana jamvi, naomba kuuliza kama kuna tatizo kumpa mtoto maziwa ya mama hali ya kuwa umempa dawa (mtoto). Asante
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Nimekuwa nikishuudia mara nyingi sana, wanawake wengi ambao wamejifungua kujikuta wanakuwa na matumbo makubwa hadi kubadili mwonekano wao. Aidha, wengi wamekuwa wakijikuta wakikubaliana na hali...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom