2991
JF-Expert Member
- Feb 3, 2017
- 619
- 627
Habarini za j3 ladies and gentlemen, kwa sasa wife ni mjamzito na alikuwa anasumbuliwa saaana na tumbo hvyo baada ya kwenda hospital tukashauriwa afanye kipimo cha ultra sound ili wajue mtoto amekaaje na baada ya kucheki wakasema mtoto yuko poa bt daktari husika akamwambia wife kuwa image inaonyesha ni mtoto wa kiume.
kwa wataalam na wenye uelewa na uzoefu wa hii kitu je ni kweli ina huo uwezo ili nikae nikijua nina mtoto wa kiume?
kwa wataalam na wenye uelewa na uzoefu wa hii kitu je ni kweli ina huo uwezo ili nikae nikijua nina mtoto wa kiume?