Una mawe kwenye figo? Soma hapa

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,316
33,125
princ_rm_photo_of_kidney_stone.jpg

What Are Kidney Stones?

As the kidneys filter waste from the blood, they create urine. Sometimes, salts and other minerals in urine stick together to form small kidney stones. These range from the size of a sugar crystal to a ping pong ball, but they are rarely noticed unless they cause a blockage. They may cause intense pain if they break loose and push into the ureters, the narrow ducts leading to the bladder.

webmd_rm_photo_of_kidney_diagram.jpg

Kidney Stone Symptoms

When kidney stones move through the urinary tract, they may cause:

  • Severe pain in the back, belly, or groin
  • Frequent or painful urination
  • Blood in the urine
  • Nausea and vomiting
Small stones may pass without causing symptoms.

getty_rm_photo_of_woman_holding_back.jpg

Kidney Stone or Something Else?

If you have sudden, severe pain in the back or belly, it's best to seek medical care right away. Abdominal pain is associated with many other conditions, including emergencies like appendicitis and ectopic pregnancy. Painful urination is a common symptom of a urinary tract infection or an STD.

UGONJWA wa mawe kwenye figo siyo mgeni miongoni mwa watu hivi sasa, hasa wenye umri mkubwa. Hata hivyo, katika siku za hivi karibuni, ukubwa wa tatizo hili umeongezeka, kwani hata vijana wanapatwa na tatizo hili ambalo kitalaamu linajulikana kama ‘Gallstones’.

Mawe ya kwenye figo siyo mawe halisi, bali huwa ni vitu vinavyojitengeneza kwenye figo taratibu na baada ya muda mrefu hugeuka umbo na kuwa mfano wa vijiwe vidogo na wakati mwingine huwa vikubwa mfano wa dole gumba. Hutokana na ulaji wa vyakula usio sahihi.

Tiba ya tatizo la mawe kwenye figo, mara nyingi huwa ni upasuaji wa kuvitoa na hugharimu fedha nyingi na pia husababisha maumivu wakati wa kufanya oparesheni hiyo. Lakini kwa kutumia tiba mbadala ya vyakula, unaweza kuondoa mawe hayo bila kufanya oparesheni.

Maelezo haya huwezi kuambiwa na daktari hospitali hata siku moja lakini kwa kusoma makala kama haya utajifunza njia nyingine ya kuutibu mwili wako kwa njia ya vyakula. Kama mawe yaliingia tumboni kwa njia ya vyakula, bila shaka yanaweza kutoka pia kwa vyakula.

JINSI YA KUONDOA MAWE KWENYE FIGO
Kuna tiba mbadala za aina nyingi, lakini katika makala yangu ya leo nitawajulisha njia mbili unazoweza kuchagua moja wapo. Moja ni kufanya kwa muda wa siku sita mfululizo na nyingine ni ya kufanya kwa siku moja tu, chaguo ni lako.

NJIA YA SIKU SITA
Katika siku tano za kwanza, kunywa juisi halisi ya Tufaha(pure apple juice) glasi kubwa nne kila siku kwa siku tano mfululizo. Au kula tufaha nzuri tano badala ya juisi. Ili kuwa na uhakika na juisi halisi, ni vyema ukanunua tufaha za kijani (green apple) na ukatengeneza juisi mwenywe. Juisi hii au matufaha hayo yatafanya kazi ya kulainisha kwanza mawe tumboni.

Siku ya sita, anza siku yako kwa kula mlo wako wa kawaida hadi saa nane mchana, kuanzia saa nane utatakiwa ufunge usile kitu chochote mpaka asubuhi siku inayofuata ndiyo ule chakula chako.

Ifikapo saa 12 jioni, kunywa kikombe au glasi moja kubwa ya maji uliyochanganya na kijiko kimoja kidogo cha ‘Magnesium Sulphate’ . Weka maji kwenye glasi au kikombe, chukua ‘Magnesium Sulphate’, chota kijiko kimoja kidogo, tia kwenye maji hayo na changanya, kisha unywe mara moja. ‘Magnesium’ husaidia kufungua njia.

Ifikapo saa mbili usiku, rudia kunywa mchanganyiko huo wa maji na ‘Magnesium’. Baadaye saa 4 usiku, changanya nusu kikombe cha juisi halisi ya limau (fresh lemon juice) na nusu kikombe cha mafuta halisi ya mzaituni (pure olive Oil). Hiki ndiyo kitakuwa kinywaji chako cha mwisho kwa usiku huo, kisha nenda kalale.

Vinywaji hivyo vitasaidia mawe kutoka kwa njia ya haja kubwa bila shida. Usiku huo huo, unaweza kusikia haja ya kwenda chooni, au vinginevyo utasikia asubuhi.

NJIA YA SIKU MOJA
Ukisha kula chakula chako cha usiku, usile kitu kingine tena hadi kesho yake asubuhi ambapo utakunywa glasi kubwa tatu za juisi ya tufaha za kijani. Usile kitu kingine hadi mchana unywe tena juisi ya tufaha 3. Usile kitu kingine tena hadi usiku wakati wa chakula cha usiku, unywe tena juisi ya tufaha kubwa 3 za kijani kama mlo wako wa usiku.

Iwapo utashindwa kutengeneza juisi mwenywe, basi bora ule tufaha zenyewe kiasi kilichotajwa. Katikati ya mlo na mlo, utaruhusiwa kunywa maji ya kawaida tu na siyo kitu kingine. Hii ina maana utafunga siku moja kwa kula tufaha na maji tu.

Muda mfupi kabla ya kwenda kitandani, tengeneza juisi halisi ya malimau matatu, changanya na nusu kikombe cha mafuta ya mzaituni (Pure olive oil) kunywa kisha panda kitandani, kinywaji kinaweza kisiwe na ladha nzuri, lakini usijali, ndiyo dawa.

Ukiwa kitandani, lalia ubavu wako wa kulia na ukunje magoti kadiri uwezavyo na ulale hivyo kwa muda utakaoweza au hadi hapo utakapopitiwa na usingizi. Ulalaji wa aina hii huwezesha utokaji wa mawe kwenye figo na kwenda tumboni kwa ajili ya kutoka kwa njia ya haja kubwa.

Ukijisikia haja ya kwenda chooni, fanya hivyo haraka, vinginevyo utalala hadi asubuhi ndiyo utakwenda chooni. Ili kuona kama vimawe vimetoka, weka utaratibu wa kukagua haja yako na utaona vitu rangi ya kijivu au kijani vinavyong’aa na hapo utakuwa umefanikiwa.

Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu.

UNA MAWE KWENYE FIGO? SOMA HAPA - 2.

kidney_stone_s2_common_cause.jpg

DALILI ZA KUWA NA MWAWE FIGONI
Dalili za awali za mtu mwenye mawe kwenye figo ni maumivu ya wastani au makali ya tumbo ya mara kwa mara. Pia mtu mwenye uwezekano wa kuwa na mawe kwenye figo huwa na tatizo la ukosefu wa choo kwa muda mrefu, tumbo kujaa gesi, kujisikia kushiba sana baada ya kula chakula kidogo na kujisikia kichefuchefu mara kwa mara.

Aidha, mtu mwenye tatizo la mawe kwenye figo, huwa hapatani na vyakula vyenye mafuta mengi, kwani anapokula hujisikia vibaya zaidi, husumbuliwa na kizunguzungu, hupungukiwa damu mwilini na kuota chunusi usoni kwa wingi.

YANAYOWEZA KUSABABISHA MAWE FIGONI

Tatizo la kuwa na mawe figoni, husababishwa zaidi na ulaji mkubwa wa vyakula vyenye mafuta mengi na vyakula vinavyopikwa kutokana na unga mweupe (uwe wa mahindi, ngano au mchele) ambao huondolewa viini lishe vyake vyote. Pia ulaji mkubwa wa sukari kwa njia mbalimbali, kama vile juisi, soda, chai, keki, Ice creams, n.k, huweza kusababisha tatizo la mawe figoni.

Kwa kawaida, kiwango cha sukari kinachotakiwa mwilini ni kile kisichozidi gramu 25 (sawa na kijiko kimoja kidogo cha chai) kwa siku, lakini kutokana na vyakula na vinywaji tunavyokunywa kwa siku, tunazidisha zaidi ya mara kumi ya kiwango cha kawaida. Ukiwa na staili ya maisha hayo, ujue uko hatarini kupatwa na tatizo kama hilo. Kwa akina mama, ulaji wa muda mrefu wa vidonge vya uzazi wa mpango, nao umetajwa kusababisha tatizo.

Kwa upande wa unga wa mahindi na ngano, tunapenda kutumia unga mweupe ambao umeshaondolewa viini lishe vyake vyote hivyo kukosa faida mwilini zaidi ya kufanya usagaji wa chakula tumboni kuwa mgumu na kusababisha ukosefu wa choo kwa muda mrefu.

Kitendo cha kukosa choo kwa muda mrefu wakati unakula na kunywa kila siku, ni dalili tosha kwamba vyakula unavyokula havina viini lishe na hivyo uko hatarini kupatwa na matatizo kwenye figo yako. Vile vile mtu kutokuwa na tabia ya kunywa maji mengi kila siku, huchangia ukosefu wa choo na matatizo kwenye figo.

UNAWEZA KUJIKINGA
Mtu unaweza kujikinga ili usipatwe na mataizo kwenye figo kwa kujiepusha na ulaji wa vyakula visivyokuwa na lishe. Weka tabia ya kula mboga za majani na matunda ya aina mbalimbali kila siku, pendelea kula ugali wa dona badala ya sembe nyeupe, epuka mazoea ya kuweka sukari nyingi kwenye chai au vinywaji vingine vinavyotumia sukari.

Epuka ulaji wa mkate mweupe na badala yake pendelea kula mkate mweusi au ‘brown bread’, epuka unywaji wa soda kila siku, kwani unapokunywa soda moja tu, unakuwa umezidisha sukari mwilini mara sita ya kiwango kinachotakiwa.

Kuwa na tabia ya kunywa maji mengi kila siku (angalau lita moja) hata kama husikii kiu, maji husaidia kusafisha figo pale unapoenda haja ndogo. Kwa ujumla, ukizingatia ulaji sahihi Mungu atakulinda na maradhi.
 
Kitendo cha kukosa choo kwa muda mrefu wakati unakula na kunywa kila siku, ni dalili tosha kwamba vyakula unavyokula havina viini lishe na hivyo uko hatarini kupatwa na matatizo kwenye figo yako. Vile vile mtu kutokuwa na tabia ya kunywa maji mengi kila siku, huchangia ukosefu wa choo na matatizo kwenye figo.

kuna tatizo hapo MziziMkavu lakini kabla sijaenda huko ninaomba nikupongeze kuwa hili somo ni nyeti sana kwetu.

Chakula kisicho na lishe pia kinaweza kuleta kinyesi kila siku hata mara nyingi................angalia wanaokula na kuwa na utapia mlo choo iko palepale.........ila sikatai mazingira mengineyo ambayo umeyabainisha.......
 
Tiba ya tatizo la mawe kwenye figo, mara nyingi huwa ni upasuaji wa kuvitoa na hugharimu fedha nyingi na pia husababisha maumivu wakati wa kufanya oparesheni hiyo. Lakini kwa kutumia tiba mbadala ya vyakula, unaweza kuondoa mawe hayo bila kufanya oparesheni.

niliona wakati fulani pale ocean road kwenye luninga wakitumia mtambo wa kuyaondoa mawe hayo nimeubandika hapo chini. Mgonjwa hulazwa kwenye kitanda na kupitishwapitishwa tumboni hicho kifaa wakilikuta hilo jiwe hutoa sauti kuashiria limeharibiwa..............................ni njia ambayo ni mbadala wa upasuaji na zsiku hizi imechukua nafasi ya upasuaji

Gallstones: Extracorporeal Shock Wave Lithotripsy
Another non-surgical treatment for which gallstones must meet certain criteria is extracorporeal shock-wave lithotripsy (ESWL). It is most effective on solitary gallstones that are less than 2 centimeters in diameter, so fewer than 15 percent of patients are eligible for ESWL. The goal of the treatment is to break up, or fragment, gallstones by sending shock waves through the soft tissue of the body.
 
Mawe ya kwenye figo siyo mawe halisi, bali huwa ni vitu vinavyojitengeneza kwenye figo taratibu na baada ya muda mrefu hugeuka umbo na kuwa mfano wa vijiwe vidogo na wakati mwingine huwa vikubwa mfano wa dole gumba. Hutokana na ulaji wa vyakula usio sahihi.
.

MziziMkavu chanzo cha mawe kwenye figo ni nyongo ndiyo ambayo hujenga kwa kujifinyanga finyanga na kutengeneza mawe tajwa ndani ya figo. Ni sahihi unaposema kuwa chakula ndiyo chanzo cha tatatizo hili kwa sababu chaguzi za ulaji zinaamua kama nyongo izalishwe kwa kiasi gani ikizidi mahitaji ya mwili basi matazio kama haya na mengineyo hujitokeza.

The gallbladder's main function is to store bile, a substance secreted by the liver that helps with digestion. Sometimes, bile contents crystallize and form gallstones.

Tatizo la haya mawse ni kuwa yanaweza kuiziba gallbladder na kusababisha uzalishaji wa nyongo ambayo ni muhimu katika kusaga chakula na kuamsha kazi ya damu na virutubisho vyake.......
 
  • Pain that may extend beneath the right shoulder blade or to the back
  • Pain that worsens after eating a meal, particularly fatty or greasy foods
  • Pain that feels dull, sharp, or crampy
  • Pain that increases when you breathe in deeply
  • Chest pain
  • Heartburn, indigestion, and excessive gas
  • A feeling of fullness in the abdomen
  • Vomiting, nausea, fever
  • Shaking with chills
  • Tenderness in the abdomen, particularly the right upper quadrant
  • Jaundice (yellowing of the skin and eyes)
  • Stools of an unusual color (often lighter, like clay)

hizi pia ni dalili zake pamoja na zile ambazo MziziMkavu kazibainisha......
 
JINSI YA KUONDOA MAWE KWENYE FIGO
Kuna tiba mbadala za aina nyingi, lakini katika makala yangu ya leo nitawajulisha njia mbili unazoweza kuchagua moja wapo. Moja ni kufanya kwa muda wa siku sita mfululizo na nyingine ni ya kufanya kwa siku moja tu, chaguo ni lako.

NJIA YA SIKU SITA
Katika siku tano za kwanza, kunywa juisi halisi ya Tufaha(pure apple juice) glasi kubwa nne kila siku kwa siku tano mfululizo. Au kula tufaha nzuri tano badala ya juisi. Ili kuwa na uhakika na juisi halisi, ni vyema ukanunua tufaha za kijani (green apple) na ukatengeneza juisi mwenywe. Juisi hii au matufaha hayo yatafanya kazi ya kulainisha kwanza mawe tumboni.

Siku ya sita, anza siku yako kwa kula mlo wako wa kawaida hadi saa nane mchana, kuanzia saa nane utatakiwa ufunge usile kitu chochote mpaka asubuhi siku inayofuata ndiyo ule chakula chako.

Ifikapo saa 12 jioni, kunywa kikombe au glasi moja kubwa ya maji uliyochanganya na kijiko kimoja kidogo cha ‘Magnesium Sulphate' . Weka maji kwenye glasi au kikombe, chukua 'Magnesium Sulphate', chota kijiko kimoja kidogo, tia kwenye maji hayo na changanya, kisha unywe mara moja. 'Magnesium' husaidia kufungua njia.

Ifikapo saa mbili usiku, rudia kunywa mchanganyiko huo wa maji na ‘Magnesium'. Baadaye saa 4 usiku, changanya nusu kikombe cha juisi halisi ya limau (fresh lemon juice) na nusu kikombe cha mafuta halisi ya mzaituni (pure olive Oil). Hiki ndiyo kitakuwa kinywaji chako cha mwisho kwa usiku huo, kisha nenda kalale.

Vinywaji hivyo vitasaidia mawe kutoka kwa njia ya haja kubwa bila shida. Usiku huo huo, unaweza kusikia haja ya kwenda chooni, au vinginevyo utasikia asubuhi.

NJIA YA SIKU MOJA
Ukisha kula chakula chako cha usiku, usile kitu kingine tena hadi kesho yake asubuhi ambapo utakunywa glasi kubwa tatu za juisi ya tufaha za kijani. Usile kitu kingine hadi mchana unywe tena juisi ya tufaha 3. Usile kitu kingine tena hadi usiku wakati wa chakula cha usiku, unywe tena juisi ya tufaha kubwa 3 za kijani kama mlo wako wa usiku.

Iwapo utashindwa kutengeneza juisi mwenywe, basi bora ule tufaha zenyewe kiasi kilichotajwa. Katikati ya mlo na mlo, utaruhusiwa kunywa maji ya kawaida tu na siyo kitu kingine. Hii ina maana utafunga siku moja kwa kula tufaha na maji tu.

Muda mfupi kabla ya kwenda kitandani, tengeneza juisi halisi ya malimau matatu, changanya na nusu kikombe cha mafuta ya mzaituni (Pure olive oil) kunywa kisha panda kitandani, kinywaji kinaweza kisiwe na ladha nzuri, lakini usijali, ndiyo dawa.

Ukiwa kitandani, lalia ubavu wako wa kulia na ukunje magoti kadiri uwezavyo na ulale hivyo kwa muda utakaoweza au hadi hapo utakapopitiwa na usingizi. Ulalaji wa aina hii huwezesha utokaji wa mawe kwenye figo na kwenda tumboni kwa ajili ya kutoka kwa njia ya haja kubwa.

Ukijisikia haja ya kwenda chooni, fanya hivyo haraka, vinginevyo utalala hadi asubuhi ndiyo utakwenda chooni. Ili kuona kama vimawe vimetoka, weka utaratibu wa kukagua haja yako na utaona vitu rangi ya kijivu au kijani vinavyong'aa na hapo utakuwa umefanikiwa.

MziziMkavu yapo matatizo mengi katika ushauri wako huu..........................khali ya mgonjwa ndicho kipimo kikuu cha tiba ipi atumie.....................kama yuko hatua za mwanzoni na ugonjwa umegundulika basi non-surgical methods zitamfaa lakini kama kachelewa hana jinsi ila kisu tu......................ni vyema tukawa wakwweli hapo

pili ninapata shida sana na apple juice au juice nyingien au hata olive oil kwenye tatizo hili kwa sababu vyakula hivi kwa vile vina sukari au mafuta vyaweza kuzalisha nyongo badala ya kuipunguza. Njia ambazo huhitaji operesheni ambazo zimethibitishwa na sayansi ya kawaida ni hizi zifuatazo:-

Gallstones: Oral Bile Acids

In some cases, gallstones can be treated with medicine. Certain chemicals, ursodiol or chenodiol, which have been shown to dissolve some gallstones, are available in oral bile acid pills. These medicines work by thinning the bile, which allows gallstones to dissolve.
While these pills can be effective and are generally well tolerated by patients, medical treatment of gallstones is limited to people whose stones are small and made of cholesterol. However, if you do not have symptoms, the most common treatment is to "wait and see," because the risks outweigh the benefits for both medical and surgical treatments. If you have gallbladder symptoms, surgical treatments are preferred unless you are at high risk, and then drug treatments may be utilized.
Gallstones: Extracorporeal Shock Wave Lithotripsy
Another non-surgical treatment for which gallstones must meet certain criteria is extracorporeal shock-wave lithotripsy (ESWL). It is most effective on solitary gallstones that are less than 2 centimeters in diameter, so fewer than 15 percent of patients are eligible for ESWL. The goal of the treatment is to break up, or fragment, gallstones by sending shock waves through the soft tissue of the body.
Gallstones: Contact Dissolution Therapy
This non-surgical treatment option involves injecting a solvent known as methyl tertiary-butyl ether (MTBE) into the gallbladder to dissolve the gallstones. Initial studies have shown that MTBE rapidly dissolves gallstones - but there can be some serious side effects such as severe burning pain, so patients should inquire about their doctor's level of experience with performing this procedure.
Gallstones: Percutaneous Cholecystostomy
This is a non-surgical treatment option, but it's most effective when followed by gallbladder removal. Percutaneous cholecystostomy is typically saved for seriously ill patients who cannot tolerate surgery right away. The procedure involves using a needle to withdraw fluid from the gallbladder and then inserting a catheter through the skin to drain the fluid. The catheter is left in place for a number of weeks, after which gallbladder removal surgery is performed to prevent recurrence.
If you have gallstones, knowing what's available to remove or otherwise treat them can help you in making your treatment decisions. Discuss these treatment options with your doctor and find the one that's right for you.
 
MziziMkavu yapo matatizo mengi katika ushauri wako huu..........................khali ya mgonjwa ndicho kipimo kikuu cha tiba ipi atumie.....................kama yuko hatua za mwanzoni na ugonjwa umegundulika basi non-surgical methods zitamfaa lakini kama kachelewa hana jinsi ila kisu tu......................ni vyema tukawa wakwweli hapo

pili ninapata shida sana na apple juice au juice nyingien au hata olive oil kwenye tatizo hili kwa sababu vyakula hivi kwa vile vina sukari au mafuta vyaweza kuzalisha nyongo badala ya kuipunguza. Njia ambazo huhitaji operesheni ambazo zimethibitishwa na sayansi ya kawaida ni hizi zifuatazo:-
Mkuu Rutashubanyuma Ushauri niliotoa mimi sio tu mgonjwa akiumwa asiende Hospitalini la ushauri niliotoa utamsaidia mtu ambaye ndio aliye anzwa na hayo matatizo sio mgonjwa ambaye ana matatizo siku nyingi na hataki tu kwenda hospitali.
 
Last edited by a moderator:
MziziMkavu yapo matatizo mengi katika ushauri wako huu..........................khali ya mgonjwa ndicho kipimo kikuu cha tiba ipi atumie.....................kama yuko hatua za mwanzoni na ugonjwa umegundulika basi non-surgical methods zitamfaa lakini kama kachelewa hana jinsi ila kisu tu......................ni vyema tukawa wakwweli hapo

pili ninapata shida sana na apple juice au juice nyingien au hata olive oil kwenye tatizo hili kwa sababu vyakula hivi kwa vile vina sukari au mafuta vyaweza kuzalisha nyongo badala ya kuipunguza. Njia ambazo huhitaji operesheni ambazo zimethibitishwa na sayansi ya kawaida ni hizi zifuatazo:-
olive oil haina sukari na hata hiyo sukari ya tunda la apple juice haina madhara kwa kiwango fulani sukari yake haina madhara kwenye kuzalisha nyongo kwani haiongezi kitu sukari ya tunda la Apple.@Rutashubanyuma
 
71086778_XS.jpg

Olive Oil: can it treat gallstones?

MziziMkavu nielimishe mkuu bado ninapata tatizo la kuona jinsi gani olive oil ambayo ni mafuta itapunguza nyongo.........tukumbuke mafuta huongeza nyongo.....na pia tuna la apple linawezaje kuyeyusha nyongo ambayo imeganda hata kuwa jiwe...........sibishi uhalali wa tiba hii mbadala lakini ningependa kujua inafanyaje kazi?
 
MziziMkavu nielimishe mkuu bado ninapata tatizo la kuona jinsi gani olive oil amabyo ni mafuta itapunguza nyongo..............na pia tuna la apple linawezaje kuyeyusha nyongo ambayo imeganda hata kuwa jiwe...........sibishi uhalali wa tiba hii mbadala lakini ningependa kujua inafanyaje kazi?

[h=2]Significance of Olive Oil in your bile![/h] Since fat such as olive oil doesn't dissolve in water, your body needs a special system for fat digestion and absorption. Your gallbladder is a key part of this system. Your liver secretes bile, and your gallbladder stores it until you need it. While storing bile, your gallbladder also concentrates the bile by removing water. Bile is necessary because it contains substances that emulsify fats and stimulates secretion of an enzyme that helps break down the fats. When you consume a fat like olive oil, this stimulates your gallbladder to contract and release bile into your intestine. With your gallbladder removed, bile still flows into your intestine from your liver. However, your fat digestion may become less efficient because your bile is not concentrated, according to the University of Pennsylvania.

71086778_XS.jpg

Olive Oil: can it treat gallstones?

MziziMkavu nielimishe mkuu bado ninapata tatizo la kuona jinsi gani olive oil ambayo ni mafuta itapunguza nyongo.........tukumbuke mafuta huongeza nyongo.....na pia tuna la apple linawezaje kuyeyusha nyongo ambayo imeganda hata kuwa jiwe...........sibishi uhalali wa tiba hii mbadala lakini ningependa kujua inafanyaje kazi?
Sikukwambia Olive oil inapunguza nyongo olive oil Nature ni Dawa kubwa ya maradhi mengi tu wewe ulisema Olive oil inayo sukari ndio nimekukatalia kwenye Majibu yako Rutashubanyuma
 
Last edited by a moderator:
OLIVE OIL TREATMENT FOR GALLSTONES
BY DR. D. KOH

Dept. of Social Medicine and Public Health
National University of Singapore, Lower Kent Ridge Road, Singapore 0511.
Koh reports here a case of spontaneous passage of multiple cholesterol gall-stones after self-treatment with olive oil and

lemon juice.It is estimated that gallstones are present in approximately 15% of adult females and 6% of adult males, and its prevalence increases with age. Although it is generally agreed that there is a need for surgical treatment, in patients

with cholelithiasis who develop complications, the treatment of 'silent stones' is controversial.At present, the application of drug treatment of cholelithiasis is relatively expensive and limited, usually for those unfit for surgery, with small radiolucent stones, and without history of complications.Other methods of treatment of gall stones have also been described. Kurtz and Classen have reported that treatment for common bile duct stones may include endoscopic removal

and lithotripsy, and gallstone dissolution by irrigation procedures.CASE REPORT
The patient, a 32-year old Indian male, insurance salesman, had a 3-year history of epigastric pain and colicky right

hypochondrial pain whenever he took fatty meals. Physical examination was unremarkable and a barium meal study showed no evidence of gastro-oesophageal reflux or hiatus hernia, and no evidence of gastric or duodenal ulcer.

However, the plain abdominal X-ray revealed multiple radio-opaque gallstones.The patient was advised surgery for cholelithiasis, but was not enthusiastic about the idea. He returned the following day with news that he had attempted a self-cure for the gallstones using olive oil and lemon juice. According to him, after fasting from noon, he took one pint of

olive oil and lemon juice at 7 p.m. He then went to sleep on his right side. At about 2 - 3 a.m., the following morning, he felt a churning sensation in the abdomen. At 5 a.m. he passed out oily stools which he collected in a strainer. Upon

washing the stools, he found numerous smooth stones.Analysis of two of the stones showed them to be greenish, smooth and soft, measuring 15 x 12 x 5 mm and 10 x 6 x 3 mm, respectively. The stones were found to consist entirely of cholesterol.TREATMENT

P.Airola in his book How to Get Well has described an 'oil cure' for removal of gallstones, using raw natural unrefined vegetable oils of olive, sunflower or walnut, while Roberts has prescribed a specific dosage of 1 pint of olive oil and the juice of 8 to 9 lemons. The patient is required to take 4 tablespoonfuls of olive oil followed by 1 tablespoonful of lemon

juice at 15-minute intervals. This is to be started in the evening after fasting from lunch time, and the gallstones are expected to be passed out within 24 to 48 hours.This form of treatment has been largely promoted by non-physicians,

but a doctor from Canada (Kotkas L.J.) has reported that 95% of cases he saw this treatment used on passed out gallstones.This treatment is non-invasive, and numerous stones measuring up to 15 mm could be passed out. As the

olive oil cure could perhaps prove to be a relatively inexpensive alternative to costly conventional drug treatments, it is suggested that controlled and supervised studies could be considered to explore the safety and efficacy of this mode of treatment for gallstones. HEALTHWISDOM.ORG - HEALTH AWARENESS SITE
 
Back
Top Bottom