30 Million will die soon
Bill Gates and the rest of the elites have finally figured out how to kill those of us that are not considered to be of the elite of every race nationality and kind ie us...
Habarini wakuu..nilikuwa nahitaji juzwa nini sababu usababisha mama mjamzito ajifungue mtoto salama tuu afu baada ya yule mtoto kukaa siku mbili tuu na kufariki..??
Afu pia nilitaka jua ivi mtoto...
Wakuu nimemaliza leo dozi ya Malaria Mseto. Sasa hapa moja haikai wala mbili najuta sana kutumia hii dozi msimu wa sikukuu.
Nimemalizia vidonge vinne leo asubuhi sasa wakuu vipi nikizama maeneo...
Ana miaka 2 sasa kasoro siku kadhaa, ila kila nachojaribu kufanya naona namuumiza analia sana nikisema nimkazie siku hiyo asiguse nyonyo.
Ananikondesha sasa hivi maana spidi ya kunyonya imekuwa...
Naomba mnisaidie kitu wakuu,
Hivi mfano mwanamke alikuwa mjamzito akanywa midawa ikamfanya damu zitoke na kukata, ndani ya mwezi damu zimetoka na kukata mara nne akaja tena akatumia Duphastone...
Ni miaka 3 sasa tangu rafiki ambaye kwa namna moja au nyingine tulishibana sana aliponitoka kimasihara tu.
Nakumbuka ilikuwa Kariakoo siku hiyo tulipokutana na wale jamaa wanaouza dawa za kuondoa...
As salaam aleikum wanajukwaa
Mdogo wangu anasumbuliwa na vipele leo ni siku ya tatu usiku wa kuamkia leo hajalala hivo kutazama vimekuwa vikubwa kiasi tumejaribu kumkamua wametoka wadudu kila...
Mchumba wangu kaenda kupima ili aniridhishe kwamba yupo vizuri. Amekuja na kadi inayoonesha tarehe ya kurudia ni baada ya miezi 3. Je hivi mtu akienda kupima akikutwa hana anapewa nini na je akiwa...
Habari za usiku ndugu zangu? Poleni na mihangaiko ya majukumu, naomba msaada wa kueleweshwa juu ya namna ya kufahamu kama mama mjamzito ni positive ama negative kupitia kadi yake ya clinic...
Habarini wanajamvi, naomba kupata ushauri wa kitaalamu hapa.
Nina mzazi wangu kafanyiwa upasuaji mdogo kwa ajili ya kusafisha sehemu ya utumbo iliyokuwa imeathiriwa na fungus kwa mujibu wa vipimo...
Nimeugua Typhoid kwa kipindi kirefu yapata miaka minne hivi na nimetumia antibiotics nyingi kama ciplofalexin, cefriaxone,cefixime, azuma, chlorophenical, amoxicillin, doxy na nyingine nyingi...
Juzi nilikuwa pale Benjamin Mkapa hospital kutoa damu kwa ajili ya vipimo. Zaidi ya watu 5 wanalalamika maumivu kwenye mshipa wa damu sehemu iliyotolewa damu. Jamani uongozi wa hospitali ya Mkapa...
Ok naomba kuuliza, hivi vile vidonge vya uzazi wa mpango vinafanya kazi baada ya muda gani?
Naomba msinielewe vibaya, nimetembea na binti mtoto wa kiongozi wa serekalini tena chama cha upinzani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.