Chabrosy
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 2,618
- 3,083
Habarini wakuu..nilikuwa nahitaji juzwa nini sababu usababisha mama mjamzito ajifungue mtoto salama tuu afu baada ya yule mtoto kukaa siku mbili tuu na kufariki..??
Afu pia nilitaka jua ivi mtoto akinywa yale maji ya uzazi anaweza akapona akiwaiwa kufanyiwa matibabu au kuna njia ya kuweza kumuondoa yale maji aliyo yanywavya uzazi...??
Pia sababu inayosababisha mtoto kulia sana baada ya kuzaliwa yani simanishi kulia tuu pale alivyotoka tumboni kwa mama ake namanisha analia mda wote tokea kazaliwa yani anyamazi nini tatizo nahitaji msahada wenu wakuu...??
Nimetingwa sana...msaada wenu wakuu.