Chakula chenye nyanya nyingi kinaweza kumsaidia mwanaume kutoa mbegu za kiume zenye ubora, utafiti umebainisha. Afya ya wanaume ambao hunywa vijiko viwili vya nyanya ambayo imesagwa kwa siku...
Wakuu heshima kwenu,
Naomba kuuliza kama kuna member ana ushuhuda/uelewa ama experience na products (dawa) ambazo kampuni ya Global Allience huwa wanaziuza.
Je, Kuna mtu yeyote humu aliwai...
Habari Wakuu,
Nina mtoto wa miezi 3...ana utando mweupe kwenye ulimi wake kama maziwa hivi....tumempeleka Hospital amepewa Dawa but hauishi.
And sometimes akicheua huwa anacheua maziwa mengi sana...
Habari,
Naulizia madaktari wanaofahamu dawa vizuri, hii dawa inaitwaje kwa hapa Tanzania na naweza kuipata?
Natanguliza shukrani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari zenu wakuu,
Jinsia yangu me umri 30
Ni mda Sasa Nasumbuliwa Na Dalili Hizi:
Hii hali nna miaka nayo 6 ila sasa imekua siriasi
Kuna kipindi niligoogle hizi dalili, nikatumia dawa za...
wakuu nimekua nikisumbuliwa na vichomi mara kwa mara maeneo ya chini ya kitovu kwa pembeni (kwenye mitoki) upande wa kulia na kushoto yani huwa kinachoma upande mmoja baadae upande mwingne...
Habari wadau,
naamini mnaendele vema na majukumu ya kila siku na hatuna budi kumshukuru Mungu kwa ulinzi wake juu ya maisha yetu ya kila siku,
Mimi ni mtanzania ninaishi kijiji cha Bugarama...
Nipo hapa Zanzibar naona kuna ligi ya kuagiza supu ya pweza kati ya wanawake na wanaume. Hapa kwa muuzaji kuna wanawake wengi kuliko wanaume.
Naomba siri ya supu ya pweza kwa wanawake? Sijui kama...
Wasalaam,
Wataalamu wa afya: Mie nina mdogo wangu wa kiume ana miaka 22 kwa sasa.
Tatizo|Sijui sio tatizo hana tabia ya kutoka jasho hata pale atakapofanya mazoezi au kazi ngumu hata iwe juani...
Habari zenu wanajamvi,
Nina mpenzi ana miaka 23, tumekuwa katika mahusiano kwa miezi 7 sasa. Tunafanya mapenzi vizuri tu ila nilishamuambia mimi sihitaji mtoto na yeye so awe makini kucheki...
Habari wadau ni miezi sasa nimekuwa nasumbuliwa na kichwa na kizunguzungu nikifanya shughuli yoyote au kazi yoyote kwa muda kidogo.
Shida ni nini wadau?
Sent using Jamii Forums mobile app
In 2001, the term 'Leisure Sickness' was coined by Dutch psychologists Ad Vingerhoets and Maaike van Huijgevoort. It's a feeling of dissatisfaction, and in some cases illness, derived from "the...
Kupata hedhi kupita kiasi ni moja ya matatizo ya uzazi yanayosumbua wanawake wengi. Tafiti zimeonyesha kwa kila wanawake 1000; wanawake 53 kati ya huwa na tatizo la kupata hedhi kupita kiasi. Ni...
Habari,
Poleni na majukumu ya kila siku..
Naomba kuuliza eti maumivu katika bega la kushoto kugosheka kama unagosha vidole na kuwa na maumivu makali ni ugonjwa gani au kama mtu aliwahi kuumwa...
Wadau,
Kama kichwa cha habari kinavyosema, matibabu hospital nimepata, ila naomba ushauri kama kama kuna supplement au dawa yeyote itakayonisaidia kuunga mfupa na haraka zaidi.
Christmas njema...
Mmoja wa wagonjwa wake akionyesha jeraha ambalo linakaribia kupona na POP ambayo alikuja nayo.
Na Frederick Katulanda
TIBA asilia nchini ina historia ndefu pengine ile inayolingana na historia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.